Jamani, hawajui au ni mazingira? (heka/hekta/eka);

Speedo

Member
Feb 15, 2011
70
19
Muuzaji wa kiwanja anakueleza kuwa ni "heka" 1 (naamini anamaanisha eka (acre)1. Ukifika eneo lenyewe ni kama mita za mraba 1000 tu wakati eka ni takriban mita za mraba 4000. Hali kama hii imenitokea kama mara 6 hapa jijini DSM.
Je! Ni wanakosea au ni mazingira haya wanaamini kuwa eka ndio ukubwa huo?
Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…