Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,714
- 24,896
Nimekaa tu zangu home nilikuwa nimechill, basi nikaona simu nipo maeneo yenu, nikasema powa, nani jamani yule mtu tumuite shado, humu kuna siku mtu alikuwa ananidis sana na wengine wakaniita malaya, before mengine, kumbe mmenipamba sio mmenichafua.
Nilikuwa surprised sana kuona kijana anasema ni PM, nikasema ni wale wale tu nikavunga. Ila mwaka huu nikasema why not, ngoja nimpe tu nafasi mwana. Nikamtext after 1 week akadai naomba namba ya simu, 😋🤪 nikampa.
Almost 1 week akaja akanitext upo sehemu powa, nikajibu ndio. Akaanza kunicall sikupick, maana nilikuwa nipo busy na kupika maandazi. Humu JF sijawahi kupata mwanaume so unique, kind special na anamshiko kama yeye walahi, na jingine nimeongea truth tu kuwa hana demu na haingiagi humu mara kwa mara.
Nimekaa naye tufew days charting, kweli kuna msemo, mmoja ukitaka kitu lazima ukiget, mwana majuzi Idd kaja home kwetu around 1pm saa saba akatua kwetu, sio stendi nje ya nyumba yetu. Nilimueleza mengi na kumpa direction.
Sijawahi mvulia sidiria wala pichu, but wewe ni amazing. Mtoto sio Mtanzania, ni half american plus German, bibi ni Mjerumani, babu Mmarekani, mama yake Mtanzania, weeh bonge la handsome boy. Sio baunsa wala, ni tall kiasi, mweupe, na ni mwembamba.
Kaja kwetu kaulizia mama, sasa hivi ninavyokuambia katoa kishikizo uchumba, next week ndio atakuja rasmi akitoka porini tukae nimfahamu. Ila kasema anakuja home au mahali popote niwe na ndugu yangu au mama ili visitendeke maajabu, aoe kitu hakijui.
Akija nitashukuru sana walahi, kaniachia mzigo wa mimi kuenjoy. Sasa mtajiju kama mnanichukia huku siami maana hiyo sio mmoja tu, watu wameleta wengine wawili posa, huyu mwamba haelewi Kiswahili vizuri hadi asome hii post kachoka sana.
Mashallah nyie waislamu mmeniletea baraka jamani, ni mzuri sana, sana.