Sawa dume mwenzangu naona umepata bashaNimekaa tu zangu home nilikuwa nimechill home basi nikaona simu nipo maeneo yenu , nikasema powa , nani jamani yule Mtu tumuite shado , humu Kuna siku Mtu alikuwa ananidis sana nawengine wakaniita Malaya , before mengine , kumbe mmenipamba sio mmenichafua.
Ilikuwa surprised sana KUONA kijana anasema ni PM nikasema ni wale wale tu nikavunga ila mwaka huu nikasema why not ngoja ni mpe tu nafasi mwana,nikamtext after 1 week akadai naomba namba ya simu , ππ€ͺ nikampa , .
Almost 1 week akaja akanitext upo sehemu powa nikajibu ndio , akaanza kunicall sikupick maana nilikuwa nipo busy na kupika maandazi , HUMU JF sijawahi kupata mwanaume so unique, kind , special na anamshiko kama yeye walahi , na jingine nimeongea truth tu kuwa Hana demu na haingiagi humu mara Kwa mara na nimekaa naye tufew days charting, kweli Kuna msemo , mmoja ukitaka kitu lazima ukiget , mwana majuzi idd kaja home kwetu around 1pm saa Saba akatua kwetu sio stendi nje ya nyumba yetu nilimueleza mengi nakumpa direction sijawahi mvulia sidiria Wala Pichu but wewe ni amazing , mtoto sio mtanzania mtoto ni half american plus German bibi ni mgermany Babu muamerica , mama yake mtz weeh , bonge la handsome boy sio baunsa Wala ni tall kiasi, mweupe , na nimwembamba kaja kwetu kaulizia mama , saivi ninavyokuambia katoa kishikizo uchumba next week ndio atakuja rasmi akitoka porini tukae nimfahamu ila kasema anakuja home au mahali popote niwe na ndugu yangu au mama , .
Ili visitendeke maajabu , aoe kitu hakijui akija nitashukuru sana walahi , kaniachia mzigo wa Mimi kuenjoy ,Sasa mtajiju kama mnanichukia huku siami maana hiyo sio Moja tu watu wameleta wengine wawili posa huyu mwamba haelewi kiswahili vizuri hadi asome hii post kachoka sana ..... Mashallah nyie waislamu mmeniletea baraka jamani , ni mzuri sana sana
Sasa ndio unianzishie uzi kabisa!!
Mwenzangu... Huyo demu dish limeyumba. Mimi ananiona sijui half cake sijui half cast. Ana mavitu vitu kichwani hayupo sawa. Sometimes ukichat naye anakuambia jana alikuwa mbinguni malaika wanampenda sana mpaka wanataka kumwoa. Aliachwa baada ya kutolewa mahari so akachanganyikiwa.Kosa kubwa la wanawake ni kuhisi tupu zao ni njia ya kujikwamua kiuchumi kupitia ndoa na mahusiano kusahau kuwa wote wa jinsia yao wanazo hizo tupu so in reality no woman is unique neither are genitals a means to economic freedom.
Ushaliwa kimasihara na mwamba wa JF. Tena ukute umeliwa na Chizi Maarifa πππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mwenzangu... Huyo demu dish limeyumba. Mimi ananiona sijui half cake sijui half cast. Ana mavitu vitu kichwani hayupo sawa. Sometimes ukichat naye anakuambia jana alikuwa mbinguni malaika wanampenda sana mpaka wanataka kumwoa. Aliachwa baada ya kutolewa mahari so akachanganyikiwa.
We ni dume pia unajibebisha tu hapa mweu wwMatusi haya sasa
Hovyo sana. Jifunze kuandika na kupangilia mawazo. Mna mambo na akili za hovyo sana.Nimekaa tu zangu home nilikuwa nimechill home basi nikaona simu nipo maeneo yenu , nikasema powa , nani jamani yule Mtu tumuite shado , humu Kuna siku Mtu alikuwa ananidis sana nawengine wakaniita Malaya , before mengine , kumbe mmenipamba sio mmenichafua.
Ilikuwa surprised sana KUONA kijana anasema ni PM nikasema ni wale wale tu nikavunga ila mwaka huu nikasema why not ngoja ni mpe tu nafasi mwana,nikamtext after 1 week akadai naomba namba ya simu , ππ€ͺ nikampa , .
Almost 1 week akaja akanitext upo sehemu powa nikajibu ndio , akaanza kunicall sikupick maana nilikuwa nipo busy na kupika maandazi , HUMU JF sijawahi kupata mwanaume so unique, kind , special na anamshiko kama yeye walahi , na jingine nimeongea truth tu kuwa Hana demu na haingiagi humu mara Kwa mara na nimekaa naye tufew days charting, kweli Kuna msemo , mmoja ukitaka kitu lazima ukiget , mwana majuzi idd kaja home kwetu around 1pm saa Saba akatua kwetu sio stendi nje ya nyumba yetu nilimueleza mengi nakumpa direction sijawahi mvulia sidiria Wala Pichu but wewe ni amazing , mtoto sio mtanzania mtoto ni half american plus German bibi ni mgermany Babu muamerica , mama yake mtz weeh , bonge la handsome boy sio baunsa Wala ni tall kiasi, mweupe , na nimwembamba kaja kwetu kaulizia mama , saivi ninavyokuambia katoa kishikizo uchumba next week ndio atakuja rasmi akitoka porini tukae nimfahamu ila kasema anakuja home au mahali popote niwe na ndugu yangu au mama , .
Ili visitendeke maajabu , aoe kitu hakijui akija nitashukuru sana walahi , kaniachia mzigo wa Mimi kuenjoy ,Sasa mtajiju kama mnanichukia huku siami maana hiyo sio Moja tu watu wameleta wengine wawili posa huyu mwamba haelewi kiswahili vizuri hadi asome hii post kachoka sana ..... Mashallah nyie waislamu mmeniletea baraka jamani , ni mzuri sana sana
Hayo ndo machoko huwa yanaanza kujiita majina ya kike halafu baadaye yanaanza ku behave hivyoWe ni dume pia unajibebisha tu hapa mweu ww
Hovyo sana. Jifunze kuandika na kupangilia mawazo. Mna mambo na akili za hovyo sana.
Atapangilia ana akili hizo? Huyu demu anatafuta mabwana humuHovyo sana. Jifunze kuandika na kupangilia mawazo. Mna mambo na akili za hovyo sana.
π mnanionea mimi sio mburushiHalf american em njoo utoe maelezo huku tafadhali
π noma sana imebidi nikagaue pm yangu vizuri[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787]hata mimi nimemuwaza yeye
πππKwahio huyo mburushi ndio kakupagawisha π€£π€£π€£!!! Njaa mbaya kmmmk
Aaaah wanazingua sana asee mtu ni bodaboda full kujibebisha ili watu wakutumie vocha pmHayo ndo machoko huwa yanaanza kujiita majina ya kike halafu baadaye yanaanza ku behave hivyo
Hadi nimesikia kutapika! Hii ndo mitanzania utatamani upasue kuchwa ukamue usaha.Atapangilia ana akili hizo? Huyu demu anatafuta mabwana humu
Hili ni kosa kubwa sana kwa Wanawake wa Ki-Tanzania...bila shaka huwa wanadanganyana kwenye Ma-Group yao ya WhatsApp...Na huwa wanaamini wanaume wote wanazo pesa.....watakunulia gari, viwanja na Nyumba. Sijui kuna Mwalimu gani huko..Kweli Maisha ni Magumu.Kosa kubwa la wanawake ni kuhisi tupu zao ni njia ya kujikwamua kiuchumi kupitia ndoa na mahusiano kusahau kuwa wote wa jinsia yao wanazo hizo tupu so in reality no woman is unique neither are genitals a means to economic freedom.
Ushaliwa kimasihara na mwamba wa JF. Tena ukute umeliwa na Chizi Maarifa πππ
ππππ mnanionea mimi sio mburushi
π noma sana imebidi nikagaue pm yangu vizuri
πππ
Unaweza kukuta ni Mkulima wa Mchele Rujew..Ana heka Moja yake hapo.Kwahio huyo mburushi ndio kakupagawisha π€£π€£π€£!!! Njaa mbaya kmmmk
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimechekaa..Hamsin rasmi Hamsin majnuni [emoji134][emoji134]