Jamani hata Serukamba!

watenda

Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
73
Reaction score
13
Baada ya Kamati ya Makani kutoa ripoti yake kuhusu sakata la Jairo na kupendekeza kung'olewa kwa Jairo na mabosi wake pale wizarani, kumeanza kujitokeza kwa kampeni za kutaka Rais atekeleze azimio hilo la Bunge.

Katika debe hilo linaloongozwa na gazeti la Mtanzania, jina la Peter Serukamba limejitokeza mara kadhaa. Wapiga debe hao, ambao ni wapiganaji wa mafisadi ndiyo wanaoendesha pia vita vya wazi dhidi ya Maige ili Serukamba arithi nafasi hiyo. Serukamba, mhitimu wa IFM na baadae kuunga unga shule huko Esami. Jamaa hata communication skills zake ni shida na hata huo uhasibu anaodai kuusomea na shida. Sifa pekee ni kuwa yeye ni mlamba miguu wa Lowassa na si vinginevyo.

Wana jamvi tumjadili jamaa kama anafaa.
 
W. Kaboururu
Z. Kabwe
P. Serukamba
Na yule MB-Mkigoma anayempa tafu Mbatia wanadisplay "mwisho wa reli" character
 
Hivi ile stori ya kamchezo ka huyu jamaa ni ya kweli?
 
Kamchezo gani? Mwaga vitu bwana ndutu
 
wanamwonea sana kikwete'wanatake chance ya udhaifu wake'kazil ipo
 
Peter Serukamba ni gamba pia.....na mara nyingi uwa anatete uharo wa serikali.
 
Hata siwaelewi hawa wanasiasa leo wako hivi kesho vile so sishangai hilo. Mi nlishangaa tuu siku ile beatrice shelukindo alivoanza kugwaya bungeni baada ya taarifa ya kamati teule kuhusu jairo kisa aligundua tuhuma inawagusa bigwigs na watu wa kambi yake ndani ya serikali other than jairo whom she was targetting!
 
Hivi huyu Serukamba siyo yule anayejishughulisha na viungo vya albino?
Samahani
 
Huyu Serukamba si ndiyo aliyepata ubunge kwa kuchakachua na kuiba kura za mgombea wa CDM!!!?
 

Always remember this:
politicians are like bananas.......they are all yellow.....none of them is straight...!
 
Hivi huyu Serukamba siyo yule anayejishughulisha na viungo vya albino?
Samahani
Hapa hebu tuwekane sawa. Kama upo ushahidi hata kama ni wa uchache kuwa huyu bwana anajihusisha na ushenzi huo basi tuweke wazi ili tuwaponye ndugu zetu Albino naye awajibishwe
 
Always remember this:
politicians are like bananas.......they are all yellow.....none of them is straight...!

Hehe hilo neno ‘straight‘(if you know what i mean) ulivolitumia linaleta ambiguity flani...japo nimekuelewa lol!
 
Uhasibu!!! si alisoma HGL Katalamba Secondary School- Rukwa hata BAM hajasoma. Hivi atakuwa na CPA kabisa?.Ndiyo maana anasema ubunge siyo lazima anaweza kufanyakazi nyingine. Hongera Serukamba
 
ninachojua kuhusu serukamba ni kuwa anapigania sana posho. Halafu kwa bahati mbaya yuko karibu na magufuli-yule rapa wa ccm
 
Always remember this:
politicians are like bananas.......they are all yellow.....none of them is straight...!

nadhani hujui ndizi vizuri, pia hujui kuwa siasa ni maisha yako. Poor generalization
 
sio mtz ni mnyarwanda. muogopeni ana ukaribu na mke wa kagame pia hata akisachiwa anatakutwa na indanga muntu yani kitambulisho cha wanyrwanda wanaoish nje ya rwanda, hana uzalendo kwani sio mtanzania kabisa ni ni mtusi mwenye roho mbaya ya visasi
 
Hapa hebu tuwekane sawa. Kama upo ushahidi hata kama ni wa uchache kuwa huyu bwana anajihusisha na ushenzi huo basi tuweke wazi ili tuwaponye ndugu zetu Albino naye awajibishwe

Sura yake yenyewe ina apply! damu ya mtu ni mbaya sana
 
sio mtz ni mnyarwanda. muogopeni ana ukaribu na mke wa kagame pia hata akisachiwa anatakutwa na indanga muntu yani kitambulisho cha wanyrwanda wanaoish nje ya rwanda, hana uzalendo kwani sio mtanzania kabisa ni ni mtusi mwenye roho mbaya ya visasi

Mkuu Peter Joseph Serukamba si ni muha wa Kasulu au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…