Jamani hashiki

Jamani hashiki

mkabashingo

Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
48
Reaction score
5
Habar wana JF,

Simuliwa omba yasikukute, nina mpenzi wangu ambaye natarajia kufunga ndoa mwaka kesho kutwa, ila kuna tatizo ambalo linanisumbua sana, hashiki mimba huu ni mwaka wa tatu sasa najaribu lakini wapi,

Naombeni msaada nifanyaje mie.

Na ninampenda sana, pia napenda kuwa na mtoto.

Ushauri tafadhali.
 
we umeamuaje kama utaweza kuishi bila watoto sawa kama huwezi angalia ustaarabu

labda mkapime inawezekana wewe ndio tatizo
 
Habar wana jf?, da! Simuliwa omba yasikukute , nina mpenzi wangu ambaye natarajia kufunga ndoa mwaka kesho kutwa, ila kuna tatizo ambalo linanisumbua sana , hashiki mimba huu ni mwaka wa tatu sasa najaribu lakini wapi , naombeni msaada nifanyaje mie, Na ninampenda sana , pia napenda kuwa na mtoto. Ushauri tafadhari..
Umejuaje kama ye ndo ana tatizo? Mlishaenda hospitali?
 
Wewe mwenyewe ushajikaguwa?
Unaweza kuwa chanzo cha tatizo pia!
 
Habar wana jf?, da! Simuliwa omba yasikukute , nina mpenzi wangu ambaye natarajia kufunga ndoa mwaka kesho kutwa, ila kuna tatizo ambalo linanisumbua sana , hashiki mimba huu ni mwaka wa tatu sasa najaribu lakini wapi , naombeni msaada nifanyaje mie, Na ninampenda sana , pia napenda kuwa na mtoto. Ushauri tafadhari..

Mtangulize Mungu zaidi,Mtoto utoka kwa Mungu,na si kwa juhudi zetu wanadamu.
 
Kama una mtoto mshukuru mungu wako, na ujue kupata mtoto sio juhudi zako
ila ni mpango wa mungu.....
very well said. watoto ni zawadi toka kwa Mungu. unawezaona anamlaumu mwanamke kumbe yeye ndiye mwenye matatizo na huyo mwanamke anamficha tu. wakienda kupima ukashangaa mwanamke hana tatizo ila yeye ndiye alikuwa hana uwezo; hapo sasa. kwanza kabisa kama hamjafunga hata ndoa sijui tuseme mnazini au mnafanyeje sasa.
 
Mmh yani ndoa hadi mwaka kesho kutwa afu mtoto unamtaka leo...! Kumbe uwezo wa kulea familia unao, si mfunge ndoa sasa, au?
 
Mmh yani ndoa hadi mwaka kesho kutwa afu mtoto unamtaka leo...! Kumbe uwezo wa kulea familia unao, si mfunge ndoa sasa, au?

Now hapana nipo nje ya nchi so if possibly I will do it soon , after one year , hii itakua poa
 
Back
Top Bottom