mkabashingo
Member
- Aug 10, 2014
- 48
- 5
- Thread starter
- #41
Je mmekubaliana, uzae nae mwaka huu muoane mwaka kesho kutwa mhhh!
Ndio tumefanya ivo, maana analalamika kachoka kuishi pasi mtoto ,
Je mmekubaliana, uzae nae mwaka huu muoane mwaka kesho kutwa mhhh!
Ndio tumefanya ivo, maana analalamika kachoka kuishi pasi mtoto ,
Habar wana jf?, da! Simuliwa omba yasikukute , nina mpenzi wangu ambaye natarajia kufunga ndoa mwaka kesho kutwa, ila kuna tatizo ambalo linanisumbua sana , hashiki mimba huu ni mwaka wa tatu sasa najaribu lakini wapi , naombeni msaada nifanyaje mie, Na ninampenda sana , pia napenda kuwa na mtoto. Ushauri tafadhari..
Eti nje ya nchi watu bana, hapo utakuta upo tandale....
Sometimes vistory vinasadifu aina ya mtu....ha ha ha usivunje mbavu!
Habar wana jf?, da! Simuliwa omba yasikukute , nina mpenzi wangu ambaye natarajia kufunga ndoa mwaka kesho kutwa, ila kuna tatizo ambalo linanisumbua sana , hashiki mimba huu ni mwaka wa tatu sasa najaribu lakini wapi , naombeni msaada nifanyaje mie, Na ninampenda sana , pia napenda kuwa na mtoto. Ushauri tafadhari..
Shkamoo shemeji....
Tatizo mi xina , nimepima mala kibao ,
Habar wana JF,
Simuliwa omba yasikukute, nina mpenzi wangu ambaye natarajia kufunga ndoa mwaka kesho kutwa, ila kuna tatizo ambalo linanisumbua sana, hashiki mimba huu ni mwaka wa tatu sasa najaribu lakini wapi,
Naombeni msaada nifanyaje mie.
Na ninampenda sana, pia napenda kuwa na mtoto.
Ushauri tafadhali.
Mmh yani ndoa hadi mwaka kesho kutwa afu mtoto unamtaka leo...! Kumbe uwezo wa kulea familia unao, si mfunge ndoa sasa, au?