Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Shkamoo shemeji....Funga ndoa mtoto atakuja, acha zinaa
Shkamoo shemeji....Funga ndoa mtoto atakuja, acha zinaa
hiyo mimba unampa kwa bluututhi?
Hivi transfussion huwa ni blood tu au hata na sperm??!!
very well said. watoto ni zawadi toka kwa Mungu. unawezaona anamlaumu mwanamke kumbe yeye ndiye mwenye matatizo na huyo mwanamke anamficha tu. wakienda kupima ukashangaa mwanamke hana tatizo ila yeye ndiye alikuwa hana uwezo; hapo sasa. kwanza kabisa kama hamjafunga hata ndoa sijui tuseme mnazini au mnafanyeje sasa.
Shkamoo shemeji....
Siku hizi wanatuma kwa P O Box
Mmmh sijaelewa umechanganya vi id au comment?Marahabaaaa hujambo weyeeeee, mwenzio yamenikuta hata cna hamu ya kumuoa Dada ako loooooh
Tatizo mi xina , nimepima mala kibao ,
Uandishi unanikera huu!! na asishike tuu.
huyo mpenz wako au mke, yaani mnatarajia kufunga ndoa miaka 2 ijayo lakini mshaanza juhudi za kupata mtoto na ukajua hadi hashiki!
Ngastuka....fix tu hizi
mkuu nahisi wewe hukereki maana, me natamani wakatike vidole wakiwa wanaadika hivyo
Nani alikuambia kuwa mchumba anashika mimba , mke ndio anashika mimba huo ndio msaada
mie nataka nikuoe wewe kwa gharama yoyote. mwanamke mwenye busara sana wewe.
Habar wana jf?, da! Simuliwa omba yasikukute , nina mpenzi wangu ambaye natarajia kufunga ndoa mwaka kesho kutwa, ila kuna tatizo ambalo linanisumbua sana , hashiki mimba huu ni mwaka wa tatu sasa najaribu lakini wapi , naombeni msaada nifanyaje mie, Na ninampenda sana , pia napenda kuwa na mtoto. Ushauri tafadhari..
Au anatumia njia ya chupa huyu....