Jamani Hapa Mapenzi yapo?

Inapotokea umetokewa na kijana, mpole, mkarimu, mpenda dini na anakuambia direct kw alikw na mpenzi lakn hayupo tz na hataki kurudi tena, nayy umri wake una mruhusu kuoa sshivi kwaiyo anatafuta mwanamke alokuwa serious maana hataki kupoteza mda, na ww unaetokewa haupo katika mahusiano kwa takriban miaka 3 na unajipa moyo na kufurah kuwa ukiloliomba siku zote limetimia, mnakuwa pamoja kama 6 months hivi, then anakuambia yule mpenzi ambae alikuwa hataki kurudi amepiga cm kwao kuwa atarudi kabla ya January na kwao wanaleta salaam upande wa huyo kijana kuwa waliongea na binti na kakubali kurud, na huyu kaka anakuja kwa ww mpenzi mpya na anakuambia yote yaliyojili na mbaya zaid huyo mchumba anaekuja ni mchumba ndugu yani dada binamu, wakati huohuo ww unampenda sana na hapo nyuma kabla hujawa na ukaribu nae zaidi mlishaenda clinic kutest hiv na hiyo yote mlifanya kwa malengo ya kuingia katika mahusiano ya kudumu,
Kwa bahati mbaya pia umeshika ujauzito una kama mwezi mmoja tu ukitaka suluhu ya hili anakushauri mfunge ndoa ya siri kana kwamba tayari alishaoa! Unakabiliana nayo vp hali kama hii? Na je hapa mapenzi yalikuwepo au? Ata hivo bado anaonyesha ana upendo na ww na wakati huohuo anaonesha ana upendo na dada binam kwa kuona sms wanazotumiana! Comments zenu muhimu sana jamani karibun tuchangie mada

Kwa nini hukuomba ushauri kabla hujaanza mapenzi na huyo jamaa? Maji yashamwagika ndo unakuja tufanyeje sasa? Ulimwamini vipi asemayo kuwa ni kweli?

Anyway, maswali yangu hayasaidii kwa sasa , ila unamaudhi sana wewe dada. Cha msingi fikiria dhamira yako inataka nini, kama ni kubanana basi banana naye, vinginevyo achana naye, endelea na maisha maana ushalikoroga tena. Imekula kwako hiyo.
 
jamani wadada mimi huwa nawambia hizi spidi zenu za kubeba mimba ndo mnatanguliza ili mpate ndoa hazifai kabisa, mwenzio huyo according to your maelezo anampenda huyo binamu yake. kataa habari ya ndoa ya siri, si ndoa hiyo ni wizi na kukudhibiti tu ili yeye akishaoa binamu yake kwa dini aendelee kucheza rafu kwako kwa kigezo hicho kwamba kakuoa, cha msingi wewe lea mwanao aliyeko tumboni, kama unampenda sana nendeni kwa wazazi pande zote mbili alipe mahali na mfunge ndoa ambayo itashuhudiwa pande zote. lakini ni bora usiwe desperate maana hata ukifunga ndoa kuna potential problems na huyu bwana na binamu yake.

Na binamu kinyama cha hamu! hapo sasa:D
 
kaizer.....binamu ni kinyama cha hamu maana yake nini? ( samahani nimetoka nje ya perimeter..lakini hii nahitaji kujua)
 
Laussane!.......sikiliza!,

  • Kisheria za Dunia na zile za Mungu (Biblia au Quran), ndoa ni muungano wa hiyari kati ya mtu mume na mtu Mke ambao wamedhamiria kuishi pamoja katika maisha yao yote!.
  • Ili ndoa iwe halali ni lazima iwe imezingatia masharti ya kisheria ikiwa ni pamoja ridhaa ya pande zote mbili. Ridhaa inakuwepo pale wanao oana wanakuwa ni wenye utimamu wa akili na umri . Kwa sheria ya ndoa ya Tanzania, mzazi wako pia anaweza kutoa ridhaa ya wewe kuolewa iwapo una umri kati ya miaka kumi na mitano na kumi na nane (sio pungufu ya 15).
  • Ndoa iwe ya kimila, kiserikali au kidini ni lazima ifanyike mbele ya ushuhuda. Ushuhuda huo unaweza kuwa kwa mtiririko wa matukio yanayohalalisha uhusiano wa wanaotaka kuoana kwa mfano, uchumba, kutuma washenga kujitokeza na kutangaza ndoa kama ni ya kidini au kiserikali nk Hata katika zile ndoa ambazo sheria inazitambua uwepo wake kwa dhanio (presumed marriage) ambapo mtu mume akiishi na mtu mke kwa zaidi ya miaka miwili, bado ushahidi utahitajika kutoka kwa wanajamiii waliokuwa wakiishi karibu na wale wanaodai kuwa wanandoa ili ithibitishwe ni muda gani wameishi na walikuwa na hadhi ipi (mtu na mchumba, mtu na bwanake au mtu na mkewe?). Pia sheria ya ndoa inataka mtu kusaji ndoa Kwa mamlaka husika hata kama ni ya kimila kwa lengo la kutunza ushahidi (hivyo, hakuna ndoa ya siri!).

  • Ndoa kama moja ya mkataba katika jamii inapaswa kufufanyika baada ya kila upande kujua mazingira na taarifa zote za upande mwingine vinginevyo, inaweza kuwa ndoa batili ( kwa mfano kama unaolewa na mtu ambaye tayari ameoana au ana matatizo ya kiafya kama magonjwa ya zinaa nk)....
  • Maisha ya ndoa sio mapenzi pekee na wala hayaishii siku moja, katika ndoa kuna haki na wajibu, hivyo haishauriwi kufanya ndoa za siri kwani hunaweza kuingia kwenye matatizo mazito. Kwa mfano itakapotokea mnaachana au kutengana au mwenzio kufariki dunia hapo ndipo suala muhimu la kuwa na ushahidi linakuja na wewe utawezaje kuthibitisha uwepo wa ndoa hiyo?
  • Ukiacha masharti ya baadhi ya dini, kimila na ndoa za kiislamu, zinaweza kuwa ni ya zaidi ya mke mmoja.
Hivyo katika hili ulipaswa uafafanue iwapo ni wewe mwenyewe unahusika:

  1. Je una umri na akili timamu kisheri kuweza kuingia kwenye mahusian ya ndoa?
  2. Je umeridhia kuolewa na huyo jamaa hata kama ana mwanamke au mchumba mwingine (kwani mimba au mtoto ni suala jingine na sasa halina mjadala hapa, limeharibika!).Katika hili zingatia dini na kabila lako na la huyo jaama kama ni halali kuwa na mahusinao ya zaidi ya mke mmoja pia!
  3. Je, unafahamu taarifa zaidi zinazomhusu huyo jamaa na huyo mwanamke mwingine?
 
[/QUOTE]
 
Ngoshwe! kwa swala la ushahidi hapa linakuja hivi! Ndoa kama itafungwa basi itakuwa ya kiislam, kwa maana hiyo atafungisha shekhe na mashahid wa pande 2 lazima wawepo ss kama huyo mume ataleta rafik yake awe shahid hatuwez jua, Pili lazima cheti cha ndoa kisainiwe kwasababu itakuwa ndoa halali! 3 Kwa upande wa mwanamke ruhsa kuwafahamisha ndugu zake wote isipokuwa usiri upo kwa huyo mume (sijui anaficha nn)

Muhusika ana akili timamu, mimi si muhusika mkuu ila linanihusu 80% kwasababu hili jambo lipo ndani ya familia yetu, namimi nikiwa km dd natafuta njia mbadala ya kulitatua hili
[/QUOTE][/QUOTE]
 
MAPENZI HAYAKUWEPO SINCE DAY ONE YOU MET.

Kwa sababu hukusoma alama za nyakati mapema, acha tukusomee. Anza na lea hiyo mimba yako ili uzae mtoto mzuri na umpe good time.

Hakuna ndoa na hakuwahi kuwa na wazo la kukuoa uliji attach sehemu feki.
 
sasa wewe unacholaumu ni nini, ninyi akina dada kazi yenu ni kulalamika tu, sasa kwa nini usikubali hiyo ndoa ya siri ili akija amwambie kuwa alishaoa? Ukikataa upuuzi wako mwenzio atakuja kukunya'anya huyo jamaa na mtoto hatakua na malezi ya wazazi wote wawili, fanya hima funga ndoa, wacha kujishauri shauri
Mmmm,i doubt on this,Gud Boy u've that bad advise,and is bad in deed!!
 
Ngoshwe! kwa swala la ushahidi hapa linakuja hivi! Ndoa kama itafungwa basi itakuwa ya kiislam, kwa maana hiyo atafungisha shekhe na mashahid wa pande 2 lazima wawepo ss kama huyo mume ataleta rafik yake awe shahid hatuwez jua, Pili lazima cheti cha ndoa kisainiwe kwasababu itakuwa ndoa halali! 3 Kwa upande wa mwanamke ruhsa kuwafahamisha ndugu zake wote isipokuwa usiri upo kwa huyo mume (sijui anaficha nn)

Muhusika ana akili timamu, mimi si muhusika mkuu ila linanihusu 80% kwasababu hili jambo lipo ndani ya familia yetu, namimi nikiwa km dd natafuta njia mbadala ya kulitatua hili
[/QUOTE][/QUOTE]
Nakupata sasa lakini kwa mbali! Kwa mazingira ya maelezo, seems kana kwamba hakutakuwa na future njema kwa kwa huyo anayeolewa. Nadhani kama ni mtu mzima na una ndoa, upo wakati katika maisha ya ndoa mapenzi hupotea kabisa na hapo unaishi kwa kulazimisha tu kwa sababu ni ndoa lakini ingekuwa ni uchumba mnaweza kuachana kabisa!. Kuna athari za wazi kabisa kwa ndoa yenye mazingira ya utata tokea mwanzo. Kwa upande wangu naona mwafaka katika hili sio kulazimisha iwe, inaweza kuwa na isiwe na raha maishani jambo ambalo ni hatarin zaidi kuliko kuzaa nje ya ndoa. Siku zote penye riziki hapafichiki, na uvumilivu ni busara ya msikivu, matatizo mengi ya ndoa katika zama hizi yamekuwa yakisababishwa na uchanga wa mapenzi yanayopelekwa kuwaunganisha katika ndoa (muda mliofahamiana na kudhani mnapenda), tamaa ya kutaka kuolewa/kuoa pasipo uchunguzi wa kina, umri, mabadiliko ya kijamii na kiuchumi (km, kuishi katika maisha yasiyo halisi yaani "ustaarabu wa magharibi")

.......Chunguzeni kama kuna mapenzi ya kweli toka kwa anae taka kuoa na huyo anayeolewa yupoje kitabia, umri na familia atokayo pia.......Hapo sio aina ya ndoa (uislamu au ukristo haunajalishi,kinachjalishwa ni maisha gani wahusika wataenda kuishi).

Kuzaa na mtu ambaye huna ndoa nae sio dhambi kuliko kuolewa na kuzaa na mtu ambaye badae mkaachana, unakuwa umejitia nuksi nyingi na maswali yanakuwa mengi kuliko....... Mimba isiwe kigezo kama kuna utata toka awali, Mungu ndie ajue jinsi ya kuleta watu duniani, kila mtoto anakuja duniani kwa staili yake (siku hzi kuna hata mimba za kupandikiza au zile zinazopatikana kwa kuoga bafu la waume).
 
[/QUOTE]
Nakupata sasa lakini kwa mbali! Kwa mazingira ya maelezo, seems kana kwamba hakutakuwa na future njema kwa kwa huyo anayeolewa. Nadhani kama ni mtu mzima na una ndoa utaelewa, upo wakati katika maisha ya ndoa mapenzi hupotea kabisa na hapo unaishi kwa kulazimisha tu kwa sababu ni ndoa lakini ingekuwa ni uchumba mnaweza kuachana kabisa!. Hivyo, kwa kuzuia kuliko kuponya, haishauriwi kabisa kulazimisha kuingia kwenye ndoa ambayo matatizo yanaonekana wazi mapema.

Kuna athari za wazi kabisa kwa ndoa yenye mazingira ya utata tokea mwanzo. Kwa upande wangu naona mwafaka katika hili sio kulazimisha iwe, inaweza kuwa na isiwe na raha maishani jambo ambalo ni hatarin zaidi kuliko kuzaa nje ya ndoa.

Siku zote penye riziki hapafichiki, na uvumilivu ni busara ya msikivu, matatizo mengi ya ndoa katika zama hizi yamekuwa yakisababishwa na uchanga wa mapenzi yanayopelekwa kuwaunganisha katika ndoa (muda mliofahamiana na kudhani mnapendana kwa dhati), tamaa ya kutaka kuolewa/kuoa pasipo uchunguzi wa kina, umri, mabadiliko ya kijamii na kiuchumi (km, umasikini, kuishi katika maisha yasiyo halisi yaani "ustaarabu wa magharibi" ambapo watu uficha tabia na hali zao kijammi na kiuchumi) nk.

.......Chunguzeni kama kuna mapenzi ya kweli toka kwa anae taka kuoa na huyo anayeolewa yupoje kitabia, umri na familia atokayo pia.......Hapo sio aina ya ndoa (uislamu au ukristo haujalishi,kinachojalisha ni aina ya maisha wahusika watakayoenda kuishi!).

Kuzaa na mtu ambaye huna ndoa nae sio dhambi kuliko kuolewa na kuzaa na mtu ambaye badae mkaachana, unakuwa umejitia nuksi nyingi na maswali yanakuwa mengi kuliko....... Mimba isiwe kigezo kama kuna utata toka awali, Mungu ndie ajue jinsi ya kuleta watu duniani, kila mtoto anakuja duniani kwa staili yake (siku hzi kuna hata mimba za kupandikiza au zile zinazopatikana kwa kuoga bafu la wanaume).[/QUOTE]
 
Nakupata sasa lakini kwa mbali! Kwa mazingira ya maelezo, seems kana kwamba hakutakuwa na future njema kwa kwa huyo anayeolewa. Nadhani kama ni mtu mzima na una ndoa utaelewa, upo wakati katika maisha ya ndoa mapenzi hupotea kabisa na hapo unaishi kwa kulazimisha tu kwa sababu ni ndoa lakini ingekuwa ni uchumba mnaweza kuachana kabisa!. Hivyo, kwa kuzuia kuliko kuponya, haishauriwi kabisa kulazimisha kuingia kwenye ndoa ambayo matatizo yanaonekana wazi mapema.

Kuna athari za wazi kabisa kwa ndoa yenye mazingira ya utata tokea mwanzo. Kwa upande wangu naona mwafaka katika hili sio kulazimisha iwe, inaweza kuwa na isiwe na raha maishani jambo ambalo ni hatarin zaidi kuliko kuzaa nje ya ndoa.

Siku zote penye riziki hapafichiki, na uvumilivu ni busara ya msikivu, matatizo mengi ya ndoa katika zama hizi yamekuwa yakisababishwa na uchanga wa mapenzi yanayopelekwa kuwaunganisha katika ndoa (muda mliofahamiana na kudhani mnapendana kwa dhati), tamaa ya kutaka kuolewa/kuoa pasipo uchunguzi wa kina, umri, mabadiliko ya kijamii na kiuchumi (km, umasikini, kuishi katika maisha yasiyo halisi yaani "ustaarabu wa magharibi" ambapo watu uficha tabia na hali zao kijammi na kiuchumi) nk.

.......Chunguzeni kama kuna mapenzi ya kweli toka kwa anae taka kuoa na huyo anayeolewa yupoje kitabia, umri na familia atokayo pia.......Hapo sio aina ya ndoa (uislamu au ukristo haujalishi,kinachojalisha ni aina ya maisha wahusika watakayoenda kuishi!).

Kuzaa na mtu ambaye huna ndoa nae sio dhambi kuliko kuolewa na kuzaa na mtu ambaye badae mkaachana, unakuwa umejitia nuksi nyingi na maswali yanakuwa mengi kuliko....... Mimba isiwe kigezo kama kuna utata toka awali, Mungu ndie ajue jinsi ya kuleta watu duniani, kila mtoto anakuja duniani kwa staili yake (siku hzi kuna hata mimba za kupandikiza au zile zinazopatikana kwa kuoga bafu la wanaume).[/QUOTE][/QUOTE]

Ngoshwe
Nimekusoma vilivo nashukuru sana kwa ushauri wako unaozidi kunijenga katika tatizo hili, cna budi kukuombea ubarikiwe sana
 
pole sana dada na sipati picha ze way ulivyokuwa umejipa ma hope kwamba nd' mchumba aliyekuchagulia Mungu! Hivi ninyi dada zetu huwa mnakurupukia nini huko! in 6 manth 2 tayali mimba, sawa ulikuwa na kiu bt ungemsikilizia kwanza maana siku hizi vijana nao wanambinu mpya. akiona wewe mlokole nae ana pretend ili mradi tu akukamte!cha kufanya tulia tu mwachie Mungu na atakuonyesha njia ya kutokea! omba sana
 
Duu, wengi mnamlaumu Laussane hakusoma alama za nyakati, mapenzi ni upofu nyie, ohooo!

...Huyo mwanaume ndio wa kulaumiwa kwa undumilakuwili wake. Hana msimamo kabisa huyo Ndugu. Anaoa kwa matakwa yake au ya ndugu zake? wanaume wengine bwana...

Laussane, maisha ndivyo yalivyo. Kuna mengine mpaka yakukute ndipo utaamini sio hadithi za kutungwa...

Ipo mifano mingi watu wa namna hiyo, kuna dada ambaye alikuwa na mchumba'ke ughaibuni ambaye alikuwa anamhudumia kila kitu, kuanzia nyumba, fenicha, mahitaji ya ndani, usafiri na pesa za matumizi, akitaraji siku akirudi atafunga naye ndoa... kumbe Mwanamke huyo kamweka kinyumba njemba mwingine...

By the time jamaa wa ughaibuni anarudi kuja kuoa, anakuta 'mchumba' kwenye hatua za mwisho mwisho kufunga ndoa na njemba, tena wakati huo ana ujauzito mkubwa tu...

Visa hivi vya kudanganyana vingi sana, ...pole kwa yaliyokukuta. La msingi mwambie hakuna ndoa ya siri, kama anataka ndoa awashirikishe wazazi wa pande zote mbili, ili utambulike kisheria na kidini (ikibidi), na huyo mtoto atayezaliwa apate haki zake.
 
[/QUOTE]
Nakupata sasa lakini kwa mbali! Kwa mazingira ya maelezo, seems kana kwamba hakutakuwa na future njema kwa kwa huyo anayeolewa. Nadhani kama ni mtu mzima na una ndoa, upo wakati katika maisha ya ndoa mapenzi hupotea kabisa na hapo unaishi kwa kulazimisha tu kwa sababu ni ndoa lakini ingekuwa ni uchumba mnaweza kuachana kabisa!. Kuna athari za wazi kabisa kwa ndoa yenye mazingira ya utata tokea mwanzo. Kwa upande wangu naona mwafaka katika hili sio kulazimisha iwe, inaweza kuwa na isiwe na raha maishani jambo ambalo ni hatarin zaidi kuliko kuzaa nje ya ndoa. Siku zote penye riziki hapafichiki, na uvumilivu ni busara ya msikivu, matatizo mengi ya ndoa katika zama hizi yamekuwa yakisababishwa na uchanga wa mapenzi yanayopelekwa kuwaunganisha katika ndoa (muda mliofahamiana na kudhani mnapenda), tamaa ya kutaka kuolewa/kuoa pasipo uchunguzi wa kina, umri, mabadiliko ya kijamii na kiuchumi (km, kuishi katika maisha yasiyo halisi yaani "ustaarabu wa magharibi")

.......Chunguzeni kama kuna mapenzi ya kweli toka kwa anae taka kuoa na huyo anayeolewa yupoje kitabia, umri na familia atokayo pia.......Hapo sio aina ya ndoa (uislamu au ukristo haunajalishi,kinachjalishwa ni maisha gani wahusika wataenda kuishi).

Kuzaa na mtu ambaye huna ndoa nae sio dhambi kuliko kuolewa na kuzaa na mtu ambaye badae mkaachana, unakuwa umejitia nuksi nyingi na maswali yanakuwa mengi kuliko....... Mimba isiwe kigezo kama kuna utata toka awali, Mungu ndie ajue jinsi ya kuleta watu duniani, kila mtoto anakuja duniani kwa staili yake (siku hzi kuna hata mimba za kupandikiza au zile zinazopatikana kwa kuoga bafu la waume).[/QUOTE]
 
Inapotokea umetokewa na kijana, mpole, mkarimu, mpenda dini na anakuambia direct kw alikw na mpenzi lakn hayupo tz na hataki kurudi tena, nayy umri wake una mruhusu kuoa sshivi kwaiyo anatafuta mwanamke alokuwa serious maana hataki kupoteza mda, na ww unaetokewa haupo katika mahusiano kwa takriban miaka 3 na unajipa moyo na kufurah kuwa ukiloliomba siku zote limetimia, mnakuwa pamoja kama 6 months hivi, then anakuambia yule mpenzi ambae alikuwa hataki kurudi amepiga cm kwao kuwa atarudi kabla ya January na kwao wanaleta salaam upande wa huyo kijana kuwa waliongea na binti na kakubali kurud, na huyu kaka anakuja kwa ww mpenzi mpya na anakuambia yote yaliyojili na mbaya zaid huyo mchumba anaekuja ni mchumba ndugu yani dada binamu, wakati huohuo ww unampenda sana na hapo nyuma kabla hujawa na ukaribu nae zaidi mlishaenda clinic kutest hiv na hiyo yote mlifanya kwa malengo ya kuingia katika mahusiano ya kudumu,
Kwa bahati mbaya pia umeshika ujauzito una kama mwezi mmoja tu ukitaka suluhu ya hili anakushauri mfunge ndoa ya siri kana kwamba tayari alishaoa! Unakabiliana nayo vp hali kama hii? Na je hapa mapenzi yalikuwepo au? Ata hivo bado anaonyesha ana upendo na ww na wakati huohuo anaonesha ana upendo na dada binam kwa kuona sms wanazotumiana! Comments zenu muhimu sana jamani karibun tuchangie mada

Pole sana kwa haya yaliyokukuta. Haya mapenzi jamani mhhhh! yanawatesa watu mno. Kila la heri na ujauzito wako.
 
Duu, wengi mnamlaumu Laussane hakusoma alama za nyakati, mapenzi ni upofu nyie, ohooo!

...Huyo mwanaume ndio wa kulaumiwa kwa undumilakuwili wake. Hana msimamo kabisa huyo Ndugu. Anaoa kwa matakwa yake au ya ndugu zake? wanaume wengine bwana...

Laussane, maisha ndivyo yalivyo. Kuna mengine mpaka yakukute ndipo utaamini sio hadithi za kutungwa...

Ipo mifano mingi watu wa namna hiyo, kuna dada ambaye alikuwa na mchumba'ke ughaibuni ambaye alikuwa anamhudumia kila kitu, kuanzia nyumba, fenicha, mahitaji ya ndani, usafiri na pesa za matumizi, akitaraji siku akirudi atafunga naye ndoa... kumbe Mwanamke huyo kamweka kinyumba njemba mwingine...

By the time jamaa wa ughaibuni anarudi kuja kuoa, anakuta 'mchumba' kwenye hatua za mwisho mwisho kufunga ndoa na njemba, tena wakati huo ana ujauzito mkubwa tu...

Visa hivi vya kudanganyana vingi sana, ...pole kwa yaliyokukuta. La msingi mwambie hakuna ndoa ya siri, kama anataka ndoa awashirikishe wazazi wa pande zote mbili, ili utambulike kisheria na kidini (ikibidi), na huyo mtoto atayezaliwa apate haki zake.

Mkuu Mbu haya maandishi yako yamenigusa mno. Ahsante sana Mkuu kwa jitihada zako za kila siku kutoa ushauri wako katika mambo mbali mbali ya kimaisha.
 
Tehe Huyu dada hakujua kuwa ana dili na mwanaume, Alishaambiwa kuwa jamaa ana mchumba tena yupo kiwanja akadanganywa huyo mchumba hataki kurudi bongo, yeye hakufanya uchunguzi, akagawa umaskini tuu. miezi sita tuu kaamini kila kitu kaamua kubeba na mimba. Kupima ukimwi wala sio kigezo cha jamaa kuwa commited, kwa taarifa yenu WANAWAKE, mwanaume akikutaka/akikutamani atafanya lolote lile kuku impress, lkn akishamega tuu lazima wewe utaanza kumtafuta ingawa hapo mwanzo ulikuwa unaenziwa km malaika.Ushauri wangu kwako, usikubali ndoa ya siri, kwani wewe una kipi kibaya kinachokufanya ufunge ndoa ya siri? kwa nini mjifiche? hapo kuna walakini. Jitokeze nenda hata kwa ndugu zake wataarifu umebeba mimba ya jamaa, ukijificha mtoto hata pata matunzo huyo, jamaa akishaoa huyo ndugu binamu sijui, wewe atakukana huyoo, wapo wengi tuu wamekana watoto.
 
Chimunguru nimekusoma asante kwa ushauri wako, unafaham km huyo bibi harusi mtarajiwa pia ni ndugu wa familia? kitatokea nn mwenye tatizo akienda kuwajulisha km kabeba ujauzito na kwa tunavosikia wao ni vinara wa wa kutaka jamaa aoe huyo binamu! kuhusu dada kuwa kiwanja isikutishe kwan ata mie nipo kiwanja hili limetokea ndani ya familia na mimi si muhusika ila linanihusu 80%, ata huyo alobeba ujauzito ashaishi kiwanja pia
 
Back
Top Bottom