Poleni sana ninyi wavulana na wasichana.
Wengine ikisha fika mida ya majeruhi huwa hatupigi simu kabisaaaa.....[emoji135] [emoji135]
Na hata siku tunapo toka safari huwa tunatoa taarifa siku moja kabla, ili kuepusha presha, vifo vya ghafla na magomvi yaaio ya lazima
Kumbuka anayepigiwa simu huo unaouita usiku huo, naye anaongea na simu muda huo. Huenda alipiga au alipigiwapole sana !ukimchunguza sana bata....we usk huo cha kupga sim ni nn!
sa jaman si nimemmis
Umeona eeehhhhh.......hahahahhaahahahahahah!kwakweli taarifa muhimu kwa kipindi hiki!