Jamani gari

Jamani gari

Kuna bwana mmoja alipokaribia kufa gari yake ilikuwa inafanya hivyo hivyo. RIP in anticipation Mkuu.!!!!!!
 
Inaweza kuwa sababu kwani kazi ya abs ni kuisaidia gari kupunguza mwendo ndio maana ukifika speed flani inajiactivate
Sio kweli, Anti Blocking System ( ABS) ni kwa ajili ya kuepusha tairi isigome au kukaza na ikateleza unapokanyaga breki
 
Hoi gari gx 100 Mark 2 ,Ninapopiga speed ya 65 kwenda juu,inayumba njian kama kuacha njia kama Alama ya S inachora .Shida ni nini msaada tafadhalkabla sijafika kwa dr.

check wheel alligment checkbolt joint na muhimu stablizer kama klep imekatika au bush zake zimeisha ndio inayoyumbisha gari stablizer inaifanya gari kukaa au kutulia barabarani
 
Sawa.pia niliambiwa.lake hand inazabbsha ni kwel zikiwa zimekufa?
 
Cheki wheel alignment, bush zote za mbele zichunguzwe kama kuna dagi, angalia kama kuna tairi imevimba, fanya wheel balance.
 
Muhimu Doctor vehicle atasolve mengine hapa unataka tujue una gari aina gani..?
 
Back
Top Bottom