edger jairos
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 335
- 71
Hoi gari gx 100 Mark 2 ,Ninapopiga speed ya 65 kwenda juu,inayumba njian kama kuacha njia kama Alama ya S inachora .Shida ni nini msaada tafadhalkabla sijafika kwa dr.
Mh hpna una jibu jingineItakuwa homa ya dengue mkuu
Nime experience hicho kitu kwenye mitsubishi GDIHoi gari gx 100 Mark 2 ,Ninapopiga speed ya 65 kwenda juu,inayumba njian kama kuacha njia kama Alama ya S inachora .Shida ni nini msaada tafadhalkabla sijafika kwa dr.
Nahisi stterng iko loose.sabbu kama inagonga ivi katikati.ukizngisha Italia.. ka ...ka mana moja...Vitu vya kufanya;
- Kacheki alignment kama ipo sawa
- Upepo kwenye matairi yako na kama size ya matairi ni sawa?
- Steering yako nayo vipi haipo loose? yani ukifanya ku turn kidogo tu lkn unaona gari bado hai turn?
- Tizama kama vitu vyote vengine chini vinavohusiana na matairi kama vipo sawa. tyro, link bush, ball joints n.k
Pia taa ya ABS inawaka..haiwezi kua sabbu?Vitu vya kufanya;
- Kacheki alignment kama ipo sawa
- Upepo kwenye matairi yako na kama size ya matairi ni sawa?
- Steering yako nayo vipi haipo loose? yani ukifanya ku turn kidogo tu lkn unaona gari bado hai turn?
- Tizama kama vitu vyote vengine chini vinavohusiana na matairi kama vipo sawa. tyro, link bush, ball joints n.k
Mh...tuambie Shida n nnNime experience hicho kitu kwenye mitsubishi GDI
Cjajua ila ukiendesha speed 80 na kuendelea gari inaanza kukata viuno!Mh...tuambie Shida n nn
ABS sio sababu coz in deal na breki, ila kama steering iko loose karekebishe mkuu kabla hayajatokea mengine.Pia taa ya ABS inawaka..haiwezi kua sabbu?
Pia taa ya ABS inawaka..haiwezi kua sabbu?
Hoi gari gx 100 Mark 2 ,Ninapopiga speed ya 65 kwenda juu,inayumba njian kama kuacha njia kama Alama ya S inachora .Shida ni nini msaada tafadhalkabla sijafika kwa dr.
Mh hpna una jibu jingine
Peleka Gari garage MA boljoint yashakufa. Fundi achek system ya miguu ya mbele mvua zimeisha lazima vitu vingi na vyenyew viisheNahisi stterng iko loose.sabbu kama inagonga ivi katikati.ukizngisha Italia.. ka ...ka mana moja...
Weka gunia la kokoto katikati kwenye injini, uzito huo utastabilaizi pawa steringireki na usukani utatulia.Hoi gari gx 100 Mark 2 ,Ninapopiga speed ya 65 kwenda juu,inayumba njian kama kuacha njia kama Alama ya S inachora .Shida ni nini msaada tafadhalkabla sijafika kwa dr.
@Chilubi yupo sahihi kabisa...fuatilia vitu alivyotajaVitu vya kufanya;