mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,678
- 1,279
Salaam,jamani kunatatizo linanisumbua naomba msaada wenu,nina hard drive yangu external,nilikuwa natumia kwenye mashine ambayo ilikuwa na kaspersky anti virus,cha kushangaza ni kwamba nilipo angalia data zangu,sikuona hata moja,lakini nikitazama kwenye properties naona used space ile ile mbayo ilikuwa na data zangu,sasa kama kunamtu anaweza nisaidia juu ya hili nitashukuru sana!!alafu nikiiscan inascan data files zote naziona while scanning,lakini nikiifungua hiyo device sioni kitu,hii ninini jamani?
Njia rahisi kuliko zote ni Kuandika jina la Folder kwenye Address bar ya Computer yako
1 - Fundua Flashdisk au Hiyo HDD
2 - Nenda kwenye Address bar andika jina La folder moja moja kama - Videos , utaona videos zote unaweza kuhamisha toka hapo
3 - Lakini angalia ndani ya folder hizo kunaweza kuwa na virus kama hukuscan hizo folder
Hiyo ndio njia rahisi kuliko zote
Pia kama unatumia windows vista pro au ult zote hizi huwa zinauwezo wa kuonyesha folders zilizofishwa bila utaalamu wowote
Mchana mwema
Msaada aliopewa hapo juu unatosha maana naona mnaendelea kuandika kila ambacho tayari amekwisha shauriwa.wewe saidia kama unaweza presha presha za nini kama hawataki si wao kuna mtu ameletwa hapa si kila mtu amekuja kwa taimu zake
Njia rahisi kuliko zote ni Kuandika jina la Folder kwenye Address bar ya Computer yako
1 - Fundua Flashdisk au Hiyo HDD
2 - Nenda kwenye Address bar andika jina La folder moja moja kama - Videos , utaona videos zote unaweza kuhamisha toka hapo
3 - Lakini angalia ndani ya folder hizo kunaweza kuwa na virus kama hukuscan hizo folder
Hiyo ndio njia rahisi kuliko zote
Pia kama unatumia windows vista pro au ult zote hizi huwa zinauwezo wa kuonyesha folders zilizofishwa bila utaalamu wowote
Mchana mwema
Hiyo nilishafanya before,but haikuziona!!
Fungua hard disk yako,
kisha nenda kwenye menu pale juu click tools,
telemka chini kwenye folder options click ,
ikisha fungua dirisha lingine,
bonyeza pale imeandikwa view,
angalia pale kwenye folder imeandikwa hidden files and folders
click pale kwenye 'show hidden files and folders'.
Shuka chini click 'Ok' umemaliza.
utaona files zako ingawa zitaonekana kama zimezifichwa wewe fungua toa vitu vyako.
Hata hivyo ni vema uvi backup sehemu nyingine na u format hiyo hard disk.
KILA LA HERI. KUMBUKA KURUDI NA KUTOA TAARIFA YALIYOJIRI NA ASANTE.
Asante umenisaidia kwa 100%Njia rahisi kuliko zote ni Kuandika jina la Folder kwenye Address bar ya Computer yako
1 - Fundua Flashdisk au Hiyo HDD
2 - Nenda kwenye Address bar andika jina La folder moja moja kama - Videos , utaona videos zote unaweza kuhamisha toka hapo
3 - Lakini angalia ndani ya folder hizo kunaweza kuwa na virus kama hukuscan hizo folder
Hiyo ndio njia rahisi kuliko zote
Pia kama unatumia windows vista pro au ult zote hizi huwa zinauwezo wa kuonyesha folders zilizofishwa bila utaalamu wowote
Mchana mwema
msaada aliopewa hapo juu unatosha maana naona mnaendelea kuandika kila ambacho tayari amekwisha shauriwa.