Jamani Dunia

Meaning??
Maana yake ni kwamba Mara nyingi tukishindwa kwenye jambo flani hususani kwenye mambo ya mahusiano tunapenda kujipa moyo kwa kutumia hii kauli ya hujui mungu kakuepusha na nini.
Mbona mambo yakiwa swadakta hatujiulizi
 
Hii tabia ya kutuona hatujiheshimu kwasababu ya kuwaomba papuchi huwa siwaelewi, halafu mkitukubalia tukiwambato mnatuona wa maana why?
 
Kulikuwa na makubaliano kabisa naniliitegemea ila akampa msichana aliyempenda


Kwasababu huyo ndio atasaidiana naye mbele ya safari kwasabu anampenda, na wewe komaa na mpenzi wako vile toka lini umeona mtu ucheze YanGa halafu uje ulipwe na Simba.
 
Kwasababu huyo ndio atasaidiana naye mbele ya safari kwasabu anampenda, na wewe komaa na mpenzi wako vile toka lini umeona mtu ucheze YanGa halafu uje ulipwe na Simba.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Haya yote umeyataka mwenyewe nili kwambia ngarenaro patakufaa ukadharau sasa unakuja lialia humu ndani nikufanyeje sasa? mpyuuuuuutuuuu!
sikio la kufa halisikii dawa? tulia nikunyoe mbuzi weye!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…