katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Nimevurugwa kama nini sina hata neno langu macho kama kamjusi kaliko banwa na mlango.Kweli umevurugwa
Ungejua nimekuwa tu napigwa na butwaTena mshukuru Mungu hujui kakuepusha na nn. Move on na ktk maisha usije ukamtegemea mtu hata siku moja. Mwoneshe ya kuwa unaweza bila yy.ipo siku atarud kwa aibu mwamini Mungu.
Nafuu umpe papuchi ukumbukie nope alikuwa hayupo hivyo kwake alikuwa mtu anayejiheshimu wala sio nimeandika tu huu ni ukweli halisi ila yote maisha.Ulimpa papuchi?
Kila uangukapo sio kila binadamu atakuonea huruma kuna wale wanafurahia yaliyokupata.haki ya nani vile hata walaa hujatulia..
yalokukuta hayajakosea njiaa
Yes leo ndio nimeona hilo kabisa from now onwards i will take resposibilities of my life.No one can take responsibility of your life more than you.
Vizuri kama umelijua hiloo..Yes leo ndio nimeona hilo kabisa from now onwards i will take resposibilities of my life.
Wewe maneno yako ndio ngumu kuyamezaVizuri kama umelijua hiloo..
Hutakiwi kuhuzunika.
Alafu kwa nini hutaki kuniruhusu wewe bibiee..?
Nakuonea huruma sana.nakuona kama upo mpweke katoto
Wewe maneno yako ndio ngumu kuyameza
Pole sanaUngejua nimekuwa tu napigwa na butwa
Eh moja yanini?katoto kazuri inaonesha una akili mbili mbili kwa hizi sredi zako
BuhhhhhhhhhhVizuri kama umelijua hiloo..
Hutakiwi kuhuzunika.
Alafu kwa nini hutaki kuniruhusu wewe bibiee..?
Nakuonea huruma sana.nakuona kama upo mpweke katoto