masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,796
- 16,799
huyu ni juimbaji wa australia katika pita pita zangu insta nikamuona looooh
Dini gani huyu
Dini gani huyu
Dini ya mwamedi a.k.a mudi
hata sijui
huwa kuna page ya urembo naifatilia leo ndo wakawa wamepost wanasifia gauni lake ndo ikabidi niende kwenye page yake
kumbe upo instagram
Huyo Shoga wa mda mrefu sana.
kumbe upo instagram
Muislam anaitwa Thomas??
Cha kushangaza hata havutii, angejiweka tu kidume.
Gasho huyo kwa kweli
Mkuu umeniwahi, anataka kum follow massai dada ila nitamuibukia pm