habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
Mwache baba wa watu apumzikeWana jamvi Naomba kuuliza alipo Dr ULIMBOKA. Mara ya mwisho nilimsikia alivorudi toka matibabu. Tukasubiri press conference lakini hadi leo sijasikia allishia wapi.
Mtu yeyote mwenye kujua huyu bwana yuko wapi na anafanya nini sasa hivi anisaidie.
Labda wengine mtaniuliza kwa nini nauliza au ananihusu nini. Kiukweli nimemkumbuka tu kama binadam mwenzangu na kwa vile habari zake zilivuma enzi hizo sio vibaya kujua anaendeleaje huko alipo.
Anatakiwa atekwe tena..! [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwache baba wa watu apumzike
Aliyoyapata Mungu ndo ajuaye
Ha ha ha kumbe upo nilidhani umekufa akili kubwaAnatakiwa atekwe tena..! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bado ana practice kazi yake au anapumzika tuYuko nyumbani kwake
Mungu hawezi kujitia hasara kuuwa akili kubwa huku kuna akili ndogo.[emoji12] [emoji12]Ha ha ha kumbe upo nilidhani umekufa akili kubwa
Aiseeeee mambo yakoMungu hawezi kujitia hasara kuuwa akili kubwa huku kuna akili ndogo.[emoji12] [emoji12]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] una roho mbaya!!Anatakiwa atekwe tena..! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kitaani wanadai kuwa keshapigwa 'kufuli' yuko Uingereza anakula maisha na familia yake. Sijui kama ni kweli au laaWana jamvi Naomba kuuliza alipo Dr ULIMBOKA. Mara ya mwisho nilimsikia alivorudi toka matibabu. Tukasubiri press conference lakini hadi leo sijasikia allishia wapi.
Mtu yeyote mwenye kujua huyu bwana yuko wapi na anafanya nini sasa hivi anisaidie.
Labda wengine mtaniuliza kwa nini nauliza au ananihusu nini. Kiukweli nimemkumbuka tu kama binadam mwenzangu na kwa vile habari zake zilivuma enzi hizo sio vibaya kujua anaendeleaje huko alipo.
Mimi hapa!
Akisikia mnamsema sema Leo halali ndani[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yupo, mwenye afya njema, akiendelea na shughuli zake
Kwanini mkuu, alijifanya kutusumbua tukamtia adabu..![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] una roho mbaya!!
Sijambo zilipendwa wangu wapi sikuhizi MHz au kHz za wapi maana nikitune sikupati.Aiseeeee mambo yako
Nipo kolomije kwenye missionSijambo zilipendwa wangu wapi sikuhizi MHz au kHz za wapi maana nikitune sikupati.
Duuh! Angalia huko nasikia kuna FAFA.[emoji23] [emoji23]Nipo kolomije kwenye mission
Ha ha ha haaaaaaDuuh! Angalia huko nasikia kuna FAFA.[emoji23] [emoji23]
Njoo pm, nikufanyie interview upya.[emoji23]Ha ha ha haaaaaa
Kwani wewe hupendi mayai