jamani demokrasia inaanza kuchakachuliwa na viongozi waroho wa madaraka wa ccm


M

Maluo

Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
58
Likes
0
Points
13
M

Maluo

Member
Joined Feb 29, 2008
58 0 13
tafadhali Makambo na viongozi wa CCM msituharibia amani yetu na uchumi wetu kwa uchu wa madaraka ya Dr. Batlilda Buriani na Lowasa kwani sasa leo nimeshuhudia Lowasa anaingia katika ofisi za manispaa ya Arusha kufanya nini kwa wadhifa upi wakati madaraka yake aliyashindwa na huyu mgombea wa CCM Dr. Batlda kwa nini anataka kulazimisha ushindi ambao sisi tulio wengi wapiga kura hatumkuchagua kwa nini????

majimbo ambayo chama cha Ccm kimeshinda mnatangaza wakishinda upinzani wakurukenzi wengi wanazuiwa kutangaza kwa nini ??? Je ndani ya NEC Lowasa ana wadhifa gani jamani wa kuja kuzungumzia uchaguzi wa Arusha mjini ambapo wenye haki yetu tunaamini kabisa damu ya wananchi waliopo mbele ya jengo la mwenyekiti wa usalama yaani mkuu wa mkoa wa arusha kweli ni fujo hii ni imesababishwa na tume na viongozi wa ccm na siyo vinginevyo kama sheria matokeo

tupeni haki yetu
tupatieni matokeo wewe makamba lowasa na Raisi wa CCM na mgombea wa arusha mjini

tupeni haki yetu
 

Forum statistics

Threads 1,252,188
Members 482,034
Posts 29,799,625