Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,737
- 18,920
Hii itanisaidia sana mimi ninaeenda masafa ya 900+km na pia siwezi kufa sababu sio sehemu zote gari itakua inakimbizwa..sio kwamba gari hio ulioiendesha ndo ilikua na changamoto ikifika 120kphItakuua hio gari. Gari zenyewe ikifika over 120kph tu hazikai mkononi mnataka kutoa limiter ya 180kph!
