Magpie
Member
- Aug 26, 2009
- 70
- 8
Jana jioni nilikua nasikiliza kipindi cha jahazi..wakati wa habari za michezo..nilistaajabishwa pale ambapo kibonde alipokua anaongea kuhusu matokeo ya Common wealth games,. baada kutaja nchi zilizo fanikiwa kuchukua medali mpaka jana, alipo maliza Gardener aliuliza "hivi USA hawapo kwenye mashindano hayo ?" nilitegemea kua Kibonde angemsahihisha kua yale ni mashindano ya nchi zilizo kua makoloni au kua na uhusiano fulani na muingereza, lakini na yeye akajibu "naona kwenye list hii hawapo"... kumbe wote wawili vichwa maji mtupu...!!