Naibu waziri wa kazi Mheshimiwa Makongoro kaulizwa swali kuwa, kwa kuwa wastaafu wanaishi katika maisha magumu na pengine hufa mapema serikali inaonaje kama itawalipa wastaafu kila mwezi katika rate ambazo zinaendana na maisha ya sasa kulingana na nyazifa zao wakati wa kustaafu.
Jibu La Makongoro: Swali hili halina mantiki na hakuna sababu ya kumlipa mfanyakazi posho nyingine.
Sasa hapa sijui kama kajibu swali au hakuelewa na spika naye hakuweza kumwambia kuwa hakujibu swali sasa hapo kwa kanuni za bunge sijui au ndo imetoka hiyo?
Mkuu napata shida kdg ktk hili yaonekana kabisa ubongo wa spika hautofautiani na wa makongoro coz hamna analysis wapowapo tu ndo maana bunge linapoteza mvuto!!!Mkuu hapo kwenye red kwani Bunge la JMT lina spika?
Bunge la spika Makinga halina mvuto kabisa!!!! kila kitu ni kucrash tu!! yeye alitaka wastaafu walipwe kiwango kutokana na gharama za maisha ilivyopanda sasa yeye anajibu hakuna kitu kama hicho mh inashangaza sana.Mkuu napata shida kdg ktk hili yaonekana kabisa ubongo wa spika hautofautiani na wa makongoro coz hamna analysis wapowapo tu ndo maana bunge linapoteza mvuto!!!
<BR><BR>Mkuu hapo kwenye red kwani Bunge la JMT lina spika?
tuvumilie tu ndio spika tuliyepewa na mafisadi sasa tutafanyaje.... yeye yupo pale kuwabana wapinzani ccm wala hana mpango nao hata wongee utumbo vipi. ingekuwa spika anaweza kutolewa madarakani na wananchi basi movement ya kumtoa ingekuwa imeshaanza muda mrefu but ni wabunge ndio wenye uwezo wa kumtoa spika
Ndo wanamuita Bi Kiroboto?
Mkuu hapo kwenye red kwani Bunge la JMT lina spika?
Hivi huyu Bi Kiroboto aliwahi kuwana Mchumba? naona kama vile anatisha sura yake inataka kufanana na wakupinda
zipo tena subwoofer zake ni kubwa tu na amlifier ina watt 10000, zinasikika hadi nje ya bunge.
Nchi haina Prez wala Spika