M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 6,035 Reaction score 15,080 Nov 21, 2012 #1 Jaman wana jf wenzangu...tuwe makini na madereva wa bodaboda wanaoendesha ovyo, embu ona abiria na dereva walivyotutoka huko morogoro... Inauma sana
Jaman wana jf wenzangu...tuwe makini na madereva wa bodaboda wanaoendesha ovyo, embu ona abiria na dereva walivyotutoka huko morogoro... Inauma sana
C Capt Tamar JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 13,252 Reaction score 18,448 Nov 21, 2012 #2 Asante kwa picha,japo umeipiga ki uoga uoga,Utumiaji wa boda boda ni hatari kwa maisha.
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,944 Reaction score 4,511 Nov 21, 2012 #3 Umakini unatakiwa kwenye vyombo vya moto hata train, ndege,magari,baiskeli zinaua.
kbm JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 5,224 Reaction score 1,687 Nov 21, 2012 #4 ! Raha ya milele Uwape Ee Bwana' na mwanga wa milele uwangazie, wapumuzike kwa amani. Kuna ajali nyingine imetokea sasa hivi ya bodaboda na gari dogo, Nyerere road Dar, karibia Airwing terminal.
! Raha ya milele Uwape Ee Bwana' na mwanga wa milele uwangazie, wapumuzike kwa amani. Kuna ajali nyingine imetokea sasa hivi ya bodaboda na gari dogo, Nyerere road Dar, karibia Airwing terminal.
Scofied JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 2,456 Reaction score 1,694 Nov 21, 2012 #5 Ndo maama me na hawa jamaa mbalimbali kabisa....hawafuati kabisa sheria za barabarani.,,.zilale. Pema roho za marehemu
Ndo maama me na hawa jamaa mbalimbali kabisa....hawafuati kabisa sheria za barabarani.,,.zilale. Pema roho za marehemu