kabingo
Senior Member
- Oct 16, 2015
- 115
- 118
Mimi navyowafahamu viongozi wa CHADEMA kwa matamko na mashinikizo sidhani kama hii ishu ya kupotea kwa Ben Saanane kama ni kweli, CHADEMA wangekuwa wameshatishia kwenda kushitaki hata ICC.
Sidhani kama yule Tundu Lissu angekaa kimya kiasi hiki. Jamani mimi sina chama ila nawaza tu kama mwananchi wa kawaida.
Sidhani kama yule Tundu Lissu angekaa kimya kiasi hiki. Jamani mimi sina chama ila nawaza tu kama mwananchi wa kawaida.