wangewange
Senior Member
- Oct 4, 2013
- 189
- 43
Jaman habar zenu wakuu...ndugu yenu hapa natumia asus toop lakin imeshapasuka display ...na nahtaji display mpya kwa mwenye kujua ni jinsi gani naweza kuipata hyo lcd display anisaidie kwakweli . Napatkana dar es salam.