- Thread starter
- #41
Yaani ni balaa kubwa kila sehemu uvivu, uvivu ila huku tunapenda bata na kuspendSio kutembea tu, hata katika huduma mbalimbali wanakuwa slow sana,
Makondakta, wapiga debe na madalali wa tiketi ndio huwa wako haraka sana kwa wateja.