R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 51,846 Reaction score 101,078 Jan 3, 2026 #1 Kuna lolote kinaendelea ICC au ndiyo imetoka hiyo! Mwenye fununu atufunulie
Lord Denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 23,491 Reaction score 57,943 Jan 3, 2026 #2 Chakula kinaiva vizuri sana. We tulia tu mwaka wa ushindi kwa wapenda mabadiliko ni huu.
TUJITEGEMEE Platinum Member Joined Nov 6, 2010 Posts 27,490 Reaction score 28,402 Jan 3, 2026 #3 Hata mwaka 2026. Narudia. Tuimalize matatizo yetu wenyewe. ICC ni vurugu zaidi tunamkaribisha. Haya mambo yetu hayajatushinda!!!
Hata mwaka 2026. Narudia. Tuimalize matatizo yetu wenyewe. ICC ni vurugu zaidi tunamkaribisha. Haya mambo yetu hayajatushinda!!!
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,049 Reaction score 41,194 Jan 3, 2026 #4 Retired said: Kuna lolote kinaendelea ICC au ndiyo imetoka hiyo! Mwenye fununu atufunulie Click to expand... Jinai haifi mkuu huyu lazima waruke naye tu, arrest warrant inatoka soon.
Retired said: Kuna lolote kinaendelea ICC au ndiyo imetoka hiyo! Mwenye fununu atufunulie Click to expand... Jinai haifi mkuu huyu lazima waruke naye tu, arrest warrant inatoka soon.
T Twoten JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 2,638 Reaction score 2,995 Jan 3, 2026 #5 Nimedokezwa mwezi wa pili mwaka huu ataitwa kusomewa mashitaka kenge wenu