Jamani angalieni watu wazima bado wanaling'ang'alia hili li chama

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
3,504
1,341
182135_429554630398376_1660351642_n.jpg
 
Yani hawaoni aibu na tai shingoni wakati watoto mbele yao hawana viatu mguuni,madawati shule hakuna,matibabu hawapati,nguo hawana.Adhabu ya hawa jamaa ni kunyongwa
 
Wapi huku? Nimempenda huyo Bidada mwenye High heels za njano... Nataka Nimfuatilie kabla MAGAMBA hayajam-terrorise!
 
Nchi Huru....Kila mtu ana haki ya kuwa mfuasi wa chama anachopenda...
 
Back
Top Bottom