figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,637
- 62,528
Kwa kweli hata mimi limenipa ukakasi mno, nimewaza mbali sana,Neno "tuna" lina ukakasi mwingi.
We muache tu, aje apoteeNeno "tuna" lina ukakasi mwingi.
Angetumia maneno mazuri na ya kuvutia; kwa mfano "Jamani angalieni Rais Samia Suluhu Hassan alivyopendeza akiwa na sare za jeshi letu la Wananchi"We muache tu, aje apotee
Mimi nilitaka kumuuliza 😄😄😄😄Ulifanikiwa kupata hela ya joho?
Huko mtoa mada ulipo, piga sana maombi kina Mafwele wasipitie huu uzi, halafu watafsiri Vingine yani UtapoteaAngetumia maneno mazuri na ya kuvutia; kwa mfano "Jamani angalieni Rais Samia Suluhu Hassan alivyopendeza akiwa na sare za jeshi letu la Wananchi"
Ila siyo kusema ametuna!
Mimi sijasema "Tuna" sababu tuna ni samaki. Mimi nimesema kutuna nikimanisha kuvimba au kujaza. Je, kwenye hiyo picha unamuona amejaa au hajajaa. Ni vitu vya muda mfupi sana.. Baada ya muda kitambo atarudi kwao na Mumewe Jambiani.Neno "tuna" lina ukakasi mwingi.
Upo sahihi. Lakini tumekata kuishi vile wanavyotaka tuishi. Watatuua leo, kesho wakina sisi wenye mawazo kama sisi wanazaliwa.Huko mtoa mada ulipo, piga sana maombi kina Mafwele wasipitie huu uzi, halafu watafsiri Vingine yani Utapotea
Ipo mkuu..ila huyu analindwa na majini waovu...Hv hakunaga uchawi wa kuloga hata picha jamani
Kweli mkuu, Kuna watu wamejipa mamlaka ya kutoa uhai wa wenzao,Upo sahihi. Lakini tumekata kuishi vile wanavyotaka tuishi. Watatuua leo, kesho wakina sisi wenye mawazo kama sisi wanazaliwa.
Mbona huo utawala wa mkono wa chuma hatuuoni ukitamalaki Zanzibar? Kwa nini utokee Tanganyika tu! Au ni kwa sababu hana uchungu na Watanganyika?Atupunguzie utawala wa mkono wa chuma sisi ni watanzania wenzake wapinzani sio maadui sote tunataka kujenga Tanzania moja.