shida ya post yako ni kuwa kuna anko aliyefiwa na mkewe...
Na wewe ukiwa college ulikuwa unaishi na anko(mjane) O'bay..
Halafu Anko anaonekana ana mawazo ya kumpoteza mkewe...
Halafu Roda anasingizia kulala na Mike kwa ajili ya kumliwaza kwa kufiwa..
Na akasema angerudia(wakati anaongea na Pili)
halafu Mike anachukia kwa kusingiziwa kala mzigo...
So Mike na mfiwa(anko) ni the same person..
Sema umemtamani rafiki wa binti yako,vinginevyo hii ni stori ya kweli,lakini kwa sababu inakuhusu directly,ndiyo maana inakuchanya jinsi ya kuiweka sawa..