Jaman World Vision wanatumia mda gani tangu deadline hadi interview.

Usisumbuke kuomba kazi katika taasisi zifuatazo...

1. World Vission
2. Jhpiego
3. CCBRT
4. Elizabeth glazer
5. ICAP

Ni wahuni na wapu.mbv wa hali ya juu. Usipoteze muda wako kuomba kazi kwenye mashirika hayo Mkuu
 
Kwa nini boss?
 
Ngoja ntakutumia namba za Kamara ni mkurugenzi pale umuulize ilo shwali.
 
Usisumbuke kuomba kazi katika taasisi zifuatazo...

1. World Vission
2. Jhpiego
3. CCBRT
4. Elizabeth glazer
5. ICAP

Ni wahuni na wapu.mbv wa hali ya juu. Usipoteze muda wako kuomba kazi kwenye mashirika hayo Mkuu
Kuna Taasis nyingine inaitwa catholic relief umeisahau mkuu...
 
Usisumbuke kuomba kazi katika taasisi zifuatazo...

1. World Vission
2. Jhpiego
3. CCBRT
4. Elizabeth glazer
5. ICAP

Ni wahuni na wapu.mbv wa hali ya juu. Usipoteze muda wako kuomba kazi kwenye mashirika hayo Mkuu

asante sana mkuu,,maana nlishaumiza kichwa sana
 
Back
Top Bottom