jaman unalipa vp ada kama umepata mkopo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jaman unalipa vp ada kama umepata mkopo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by 28619ed, Sep 26, 2012.

 1. 2

  28619ed Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mfano mm nimepata m3 na laki moja na ada yangu ni laki nane so natakiwakulipa shingap
   
 2. f

  fortunho Senior Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  ada ya course,unafield kama una yo just DO THIS
  chukua kiasi ulicho pewa toa accmodtion and allowns toa tena nafield toa tena na statnrs and books kiasi kitakacho baki ni ada walio kulipia kwa hiyo chukua ada toa na kiasi kilicho bakia utajua unalipia kiasi gan.THANKS
   
Loading...