Nokla JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 3,190 Reaction score 1,780 Feb 9, 2014 #1 Kuna wimbo mmoja miaka ya 1990's R.T.D walikuwa wanaupiga kipindi cha x-mass hadi mwaka mpya ......baadhi ya mashairi Ni Akolele mama akoleeee........ viva x-mass*3 uunaitwajee??? Kama mtu anao aweke hapa tafadhali
Kuna wimbo mmoja miaka ya 1990's R.T.D walikuwa wanaupiga kipindi cha x-mass hadi mwaka mpya ......baadhi ya mashairi Ni Akolele mama akoleeee........ viva x-mass*3 uunaitwajee??? Kama mtu anao aweke hapa tafadhali
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,652 Reaction score 7,139 Feb 9, 2014 #2 Umeimbwa na jamaa mmoja anaitwa Baba Gasto check hapa Baba Gaston - Kakolele Viva Christmas - YouTube
Umeimbwa na jamaa mmoja anaitwa Baba Gasto check hapa Baba Gaston - Kakolele Viva Christmas - YouTube
Nokla JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 3,190 Reaction score 1,780 Feb 9, 2014 Thread starter #3 Chipukizi said: Umeimbwa na jamaa mmoja anaitwa Baba Gasto check hapa Baba Gaston - Kakolele Viva Christmas - YouTube Click to expand... Santeh mkuu, vipi huna mp3 format??
Chipukizi said: Umeimbwa na jamaa mmoja anaitwa Baba Gasto check hapa Baba Gaston - Kakolele Viva Christmas - YouTube Click to expand... Santeh mkuu, vipi huna mp3 format??
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 444 Feb 9, 2014 #4 Nokla said: Santeh mkuu, vipi huna mp3 format?? Click to expand... Copy url ya hiyo video na ui-paste hapa na kisha download mp3 yako
Nokla said: Santeh mkuu, vipi huna mp3 format?? Click to expand... Copy url ya hiyo video na ui-paste hapa na kisha download mp3 yako