QUALIFIED JF-Expert Member Joined Jun 13, 2012 Posts 773 Reaction score 119 Aug 21, 2012 #1 wakuu tusijesikia izo furaha zinakua matunda ya supp na disco mkienda mlipopangiwa fanyeni shule! Nawasilisha wadau
wakuu tusijesikia izo furaha zinakua matunda ya supp na disco mkienda mlipopangiwa fanyeni shule! Nawasilisha wadau
E elank54 JF-Expert Member Joined Aug 23, 2011 Posts 479 Reaction score 21 Aug 21, 2012 #2 Sawa kabisa mkuu, umesema kama mzazi kabisa anaemtakia mwanae mafanikio... Fingers crossed
SAMORE TOURE Senior Member Joined Aug 5, 2012 Posts 116 Reaction score 9 Aug 21, 2012 #3 pamoja kk kaz ndo hiyo 2 pamoja xana
QUALIFIED JF-Expert Member Joined Jun 13, 2012 Posts 773 Reaction score 119 Aug 21, 2012 Thread starter #4 nashukuru kwa kunisikiliza wakuu
NingaR JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 2,759 Reaction score 593 Aug 21, 2012 #5 Umesomeka kijana, lakini Je Mtashinda vishawishi??
QUALIFIED JF-Expert Member Joined Jun 13, 2012 Posts 773 Reaction score 119 Aug 21, 2012 Thread starter #6 NingaR said: Umesomeka kijana, lakini Je Mtashinda vishawishi?? Click to expand... mkazo kama kawa ikibidi unapunguza mawazo na chupa mkuu
NingaR said: Umesomeka kijana, lakini Je Mtashinda vishawishi?? Click to expand... mkazo kama kawa ikibidi unapunguza mawazo na chupa mkuu
majuto mperungu JF-Expert Member Joined Jul 20, 2012 Posts 394 Reaction score 120 Aug 21, 2012 #7 na ninavyopenda watoto wazuri ud si nita sapp kila mwaka mh! Mungu nisaidie
QUALIFIED JF-Expert Member Joined Jun 13, 2012 Posts 773 Reaction score 119 Aug 21, 2012 Thread starter #8 majuto mperungu said: na ninavyopenda watoto wazuri ud si nita sapp kila mwaka mh! Mungu nisaidie Click to expand... inabidi uanze kipind cha oriental coz ili baadae uwazoee afu mkazo ufate
majuto mperungu said: na ninavyopenda watoto wazuri ud si nita sapp kila mwaka mh! Mungu nisaidie Click to expand... inabidi uanze kipind cha oriental coz ili baadae uwazoee afu mkazo ufate
Imany John JF-Expert Member Joined Jul 30, 2011 Posts 2,937 Reaction score 1,192 Aug 21, 2012 #9 QUALIFIED said: wakuu tusijesikia izo furaha zinakua matunda ya supp na disco mkienda mlipopangiwa fanyeni shule! Nawasilisha wadau Click to expand... Chuo au kusoma siyo jela.
QUALIFIED said: wakuu tusijesikia izo furaha zinakua matunda ya supp na disco mkienda mlipopangiwa fanyeni shule! Nawasilisha wadau Click to expand... Chuo au kusoma siyo jela.
majuto mperungu JF-Expert Member Joined Jul 20, 2012 Posts 394 Reaction score 120 Aug 21, 2012 #10 QUALIFIED said: inabidi uanze kipind cha oriental coz ili baadae uwazoee afu mkazo ufate Click to expand... Asante kwa ushauri mkuu
QUALIFIED said: inabidi uanze kipind cha oriental coz ili baadae uwazoee afu mkazo ufate Click to expand... Asante kwa ushauri mkuu
QUALIFIED JF-Expert Member Joined Jun 13, 2012 Posts 773 Reaction score 119 Aug 21, 2012 Thread starter #11 majuto mperungu said: Asante kwa ushauri mkuu Click to expand... unakaribishwa na hongera sana mkuu
QUALIFIED JF-Expert Member Joined Jun 13, 2012 Posts 773 Reaction score 119 Aug 21, 2012 Thread starter #12 Imany John said: Chuo au kusoma siyo jela. Click to expand... sijakuelewa hata kidogo mkuu
Z ze dudu01 JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 235 Reaction score 15 Aug 21, 2012 #13 Mimi kwangu mbunye kwa sasa hakuna nafasi ngoja tukakomae angalau tupate GPA za kuridhisha au wadau mnasemaje !
Mimi kwangu mbunye kwa sasa hakuna nafasi ngoja tukakomae angalau tupate GPA za kuridhisha au wadau mnasemaje !
QUALIFIED JF-Expert Member Joined Jun 13, 2012 Posts 773 Reaction score 119 Aug 21, 2012 Thread starter #14 ze dudu01 said: Mimi kwangu mbunye kwa sasa hakuna nafasi ngoja tukakomae angalau tupate GPA za kuridhisha au wadau mnasemaje ! Click to expand... huo moyo unanipa nguvu hata mimi safi sana mkuu
ze dudu01 said: Mimi kwangu mbunye kwa sasa hakuna nafasi ngoja tukakomae angalau tupate GPA za kuridhisha au wadau mnasemaje ! Click to expand... huo moyo unanipa nguvu hata mimi safi sana mkuu
Z ze dudu01 JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 235 Reaction score 15 Aug 21, 2012 #15 QUALIFIED said: huo moyo unanipa nguvu hata mimi safi sana mkuu Click to expand... pamoja mkuu vp umeenda kozi gan mimi niko bachelor of verterinary medicene pale sua
QUALIFIED said: huo moyo unanipa nguvu hata mimi safi sana mkuu Click to expand... pamoja mkuu vp umeenda kozi gan mimi niko bachelor of verterinary medicene pale sua
QUALIFIED JF-Expert Member Joined Jun 13, 2012 Posts 773 Reaction score 119 Aug 21, 2012 Thread starter #16 ze dudu01 said: pamoja mkuu vp umeenda kozi gan mimi niko bachelor of verterinary medicene pale sua Click to expand... aise mi mipo IFM bachelor in accounting
ze dudu01 said: pamoja mkuu vp umeenda kozi gan mimi niko bachelor of verterinary medicene pale sua Click to expand... aise mi mipo IFM bachelor in accounting
Z ze dudu01 JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 235 Reaction score 15 Aug 21, 2012 #17 QUALIFIED said: aise mi mipo IFM bachelor in accounting Click to expand... HONGERA sana mkuu !! Afu kapige kitabu kwel
QUALIFIED said: aise mi mipo IFM bachelor in accounting Click to expand... HONGERA sana mkuu !! Afu kapige kitabu kwel
QUALIFIED JF-Expert Member Joined Jun 13, 2012 Posts 773 Reaction score 119 Aug 21, 2012 Thread starter #18 ze dudu01 said: HONGERA sana mkuu !! Afu kapige kitabu kwel Click to expand... ilo shaka ondoa watu wa sua ndo inabidi mjipange nasikia si mchezo izo eneo mkuu
ze dudu01 said: HONGERA sana mkuu !! Afu kapige kitabu kwel Click to expand... ilo shaka ondoa watu wa sua ndo inabidi mjipange nasikia si mchezo izo eneo mkuu
K king rockie ATL JF-Expert Member Joined Jun 1, 2012 Posts 260 Reaction score 25 Aug 21, 2012 #19 Mungu atusaidie na Hongera wote kwa kua selected!
Z ze dudu01 JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 235 Reaction score 15 Aug 21, 2012 #20 QUALIFIED said: ilo shaka ondoa watu wa sua ndo inabidi mjipange nasikia si mchezo izo eneo mkuu Click to expand... nasikia ya kwamb ku disco njenje
QUALIFIED said: ilo shaka ondoa watu wa sua ndo inabidi mjipange nasikia si mchezo izo eneo mkuu Click to expand... nasikia ya kwamb ku disco njenje