jaman mh

jaman mh

ndauliiiii!!!

ktk maisha yangu nlbahatka kktana na kjana miaka 3 ilopita tkashndana coz alkua n mnywaj (c mlev) thn m nkaja zangu chuo by th tym nlkua cngle tu.Kmbka nlshskua na friend b4 thn nkaona ka mbabaishaj iv nkamweka kando,

Nkiwa first yr friend akarud kwa kas mpya mwee ktanda hakzai haram, nkakbeba for th first date tym kwel nkatnza na kabnt nw n kakbwa tuu

Sasa yle mpenz kard ameacha knywa na anajua nna mtoto bt he z ready to take responcblty

put on mynd kwamba baba mtoto ypo ila sss mh ye care yake iko kwa mtoto tu na hayo mtunzo tu ktoa n hekaheka wakat mwngne hyu yko serriouz ad kwao wananfaham na ass if m ad nashndwa kuelewa

ckuwah kjuta kzaa bt hwa nnajuuta kzaa na hyu nlozaa nae...

nfanyj niolewe na tuu na hyuu

nkshr w mkb 2 hn nm coz ht w mwyw utnjy 2 mbn msh yanendlea.
 
MHHHHHHHHHHHHH!!!!!!!!!!

Ukiwa single mom inabidi uwe very smart kichwani! Usipojiangalia UTATUMIKA SANAAAAAAAAAA kwa janja yao ya kujifanya kumkubali mtoto kumbe wataka urojo wa bureeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!

I dont know! Mimi nachokushauri as a single mom toa priority kwenye kuenjoy na kujinafasi na new love utaerizika nae. Ukiweka priority kwenye ndoa itakuumiza sana endapo hio ndoa ikichelewa!

Ni hayo tu!

umenena vema be happy belyz wanaume wengine ni viatu kama umempata umpendae enjoy ila uwe makini usije bebeshwa mwingine ukabwagwa.
 
Last edited by a moderator:
utakoma na huo aundishish wako, na bado wataendelea kula hiyo pusupusu mpaka ujue kuandika. Ila sahau kuolewa, yaani mwanume anayeoa mtu aliyezaa ananikera kupita meelezo, yaani kubikiri ukose na hata kuzalisha uwe wa pili? aaaah!

kaka yani umeenda mbali kwelii kiongozi...naomba uwaombe radhi kina mama waliowahi kuzalishwa kwani wengi wao uelewa na ufahamu juu ya masuala ya ngono ulikuwa mdogo au sifuri kabisa...na kumbuka wengine walibakwa wakitoka kisimani kuteka maji na mimba ikaingia wakiwa std 7... Kosa lao lipi hapo?

Imagine ni dadako alizalishwa ile anamaliza la 7...leo asiolewe kisa alizaa na kwa akili za kitoto au hata kubakwa?...wapewe nafasi ya pili kurekebisha makosa waliyofanya katika umri mdogo au hata kwa matendo ya kiharamia ya wanaume watu wazima kama mimi na wewe.

they deserve a second chance to correct their mistakes...at least am the one to care on this.
 
Nailaiki weeee hailaikiki, ngoja tu niandike, Watu wengine bwana kweli You are Great Thinkers!
 
m cew kbd we poo tu engt wdofcmk fwcn wqocsan wwdhvccva c efak'a umeelewa
 
We hizi status weka FB kwenye type yako!!uandishi gani huu hueleweki ulizani ukiandika hivi tutajua wewe ni wa mjini wakati mburula!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wewe fanya yako....ukiwa na hamu na mihemko ikipanda tafuta dudu uipendayo...hawa jamaa wawili...kila mmoja ana intrest zake binafsi bila kujua wewe utaingia...shimoni kisa ndoa...mlee mwanao kwani lazima mwanaume atie mkono kwenye malezi..baadae akija mpe gharama zako..kuhusu ndoa haipapatikiwi ki hivyo..wasalaam.
 
USIWE OVERWHELMED NA SITUATION PERIOD!!!!!!!!!!!!
wewe ni single parent, kwanza tuliza akili yako sana.......... mjini pagumu usione masihara wenye njaa watakufanya asusa!!!!!!!!!
Ningekuwa mimi ningeopt kwa the old manake at least he knows every corner lakini just for funny na kama ndoa itatokea poa isipotokea pia poa tu.
 
kaka yani umeenda mbali kwelii kiongozi...naomba uwaombe radhi kina mama waliowahi kuzalishwa kwani wengi wao uelewa na ufahamu juu ya masuala ya ngono ulikuwa mdogo au sifuri kabisa...na kumbuka wengine walibakwa wakitoka kisimani kuteka maji na mimba ikaingia wakiwa std 7... Kosa lao lipi hapo?

Imagine ni dadako alizalishwa ile anamaliza la 7...leo asiolewe kisa alizaa na kwa akili za kitoto au hata kubakwa?...wapewe nafasi ya pili kurekebisha makosa waliyofanya katika umri mdogo au hata kwa matendo ya kiharamia ya wanaume watu wazima kama mimi na wewe.

they deserve a second chance to correct their mistakes...at least am the one to care on this.
You have shown the great chance of maturity!! JUKUMU neno rahisi sana la kukwambia asubuhi hii ni hili hapa """"""hata wewe, mama yako ulichukuliwa mimba hatiani"""""
 
Last edited by a moderator:
Dah huu uandishi yaani sijaelewa kitu...labda FACEBOOK watakushauri sio hapa.....
 
Bee segito..!!! Unogage??? Huo mwandiko, dah.!
 
Hiki ndio Kiswahili alochokufundisha mwalimu wa sekondari ya kata ama?
 
Hicho kifaa ulichotumia kuandika huu uzi kina kigugumizi au kikohozi?

Yaani mie aina hii ya uandishi unifanya nijiskie Mzee kweli...maana sielewi kitu, wakati wenzangu wanaelewa! Bora leo nimepata mwenzangu..
 
Back
Top Bottom