Jaman jaman dada anaumwa nisaidieni dawa ya kuondoa uchafu kwenye kizazi

Uchafu ukoje?unaharufu?anawashwa?ana maumivu chini ya kitovu? Anatoka damu ukeni? Ana umri gani?
 
Kweli hii ndo namna ya kujieleza kwa doc?

You can't be serious!
 
sio suala la kuchelewa jaman dalili anazopata n kuwashwa sana mwili unavimba na tumbo lina muuma sana linanyonga
 
pia kichefu chefu kuchoka hajawah kutoa mimba hata kuibeba

Hata kama ni dadako huwezi kuwa na 100% ya hayo uliyoyasema. Kama ametoa mimba hafanye haraka kumtafuta Doctor wa kumsaidi. Nakumbuka nikiwa chuo binti alitoa na akaficha kitu kilicho msababishia umauti.
 
amekwenda hospital hakuna matumain ya kupona dawa katumia ila bado nisaidien katka hili
Ingelikuwa jambo la maana ungekuwa nae karibu mgonjwa kila tukikuuliza maswali unamuuliza mgonjw akisha unakuja kutujibu sisi ingelikuwa jambo rahisi kukusaidia sasa hivyo unavyojibu hatutaweza kukusaidia pole sana.

MziziMkavu naomba uje huku najua hukosi la kumsaidia
mkuu tutaweza vipi kumsaidia mgonjwa wakati anayekuja kueleza sio mgonjwa ? Mgonjwa yupo nyumbani na msemaji wa mgonjwa amekwisha hu-ojiwa na wakuu wenzangu lakini amejibu nusunusu hatutaweza kumsaidia naman hivyo ndugu.
 
Back
Top Bottom