Galadudu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 2,304
- 780
Leo nimejitahid kurudi mapema home kama saa saba hivi ucku huu, tena kwa msisitizo nikapitia kwny ka fast food flan nikachukua ka chips na ka kuku nusu ili kumfanyia suprise.........heeeeeeee......nilipofika home nikampa, halafu akaniuliza:- kwa hiyo alivyobakiza hawara yako ndo umeniletea......!!!!
Najiuliza nikavitupe au nipeleke wapi jamani.
Najiuliza nikavitupe au nipeleke wapi jamani.