ndio nashangaa bado wanhangaika eti wengine wanawza sijui freemason mara illusion wabongo bana hatupendi kuumiza vichwa ngoja nitakuja kuupost huo mchezo hapa ngoja niutengeneze ili watu welewe nikishindwa basi nitapost katika mfumo wa ppt au video ya kawaidaNilitaka nimjibu hivyo hivyo, an old trick!
Mwenye wassap ani pm nimtumie very amazing
sio game, ni mind trick, angalia youtube, au km una whatsapp nikutumie ujionee
Hamna chochote hapo FIX tupu. Ngoja nikuelekeze ugundue child trick inayotumika hapo.
Hicho kipicha cha mtu na jicho ni geresha ili tu uone na kudhani kuna kitu kisicho cha kawaida. Kwa kifupi iko hivi
Chukulia mfano seti ya kwanza ni
K-Kopa, 7-Mavi, 4-Shupaza na 2-Kisu. Wanavyokwambia uchague moja, akili yako hubakia kwenye hiyo moja uliyoichagua wewe. Sasa wanachofanya, ni kuzibadili zote kwa mfananio wa rangi kwa mpangilio ule ule.
K-Kisu, 7-Shupaza, 4-Mavi na 2-Kopa. Sasa kama wewe ulichagua 4-Shupaza kwenye seti ile ulioambiwa uchague, unapowekewa hii seti ya pili hutagundua kuwa seti nzima imebadilika. Wewe utaona tu ile 4-Shupaza haipo basi unadhani wameijua karata yako wakati si kweli.
Wewe angalia kwa makini utagundua karata zote zimebadilishwa na wala sio moja
tuna hapa mkuuu na mengne meng ulonayo
0689601294
iko hv, zile karata za mwanzo zote anazokwambia uchague hazipo tena anapo onesha mara ya pili so hata kama moyoni utachagua karata zote zile basi akija kukuonesha mbele hutoziona karata zako zote.. Mfano anweka 9kisu, 9jembe, 4 kopa, 4 mavi, 2kisu na 2 mavi then ww utachagua moja na kuconcentrate na hio tu then atakwambia ashaijua karata yako thn atakuonesha 9kopa, 9mavi, 4kisu, 4jembe, 2kopa na 2 jembe, ww utadhani iliokuwa haipo ni ile yako tu ulichagua moyoni kumbe zile zote zinazooneshwa mwanzo hazijirudii, namba ni zile zile rangi zile zile bt sio zenyewe coz kama mwanzo aliweka 4kisu huku mbele anaweka 4kopa, mwenye swali aulize