jaman hii ni technologia au freemason?

jaman hii ni technologia au freemason?

Hiyo ni michezo tu. Ni ujanja unatumika. Kumbe watu kama kina Paul Daniel au Derren Brown wakifanya maonyesho bongo kuna watu watasema wamekutana na shetani mwenyewe. Jaribu kutembelea hizi site: Paul Daniels Magic World na Derren Brown | The Official Site. Pia Google hayo majina kwenye Youtube. Kwa kifupi huyo Mr Brown anaweza kumfanya mtu akaua bila kujua lakini yeye anasema sio uchawi. Kwenye hiyo michezo ya karata ndio usiseme kabisa utashangaa mno.

asante kwa kunifumbua
 
yaan ni gemu kaisave kwenye cm yake kama gemu la kucheza karata linavyodisplay unachagua moja ya karata mfano k ya kisu,uchaguzi huo inakuwa siri yako moyon halafu inatokea picha na maandishi utazame mtu aliyekuwa kwenye picha kwa kuitazama kwenye jicho.halafu kuna maandishi yanapita maneno yanasomeka najua nn ulichochagua na kuweka moyon ndipo ile karata uliyochagua inapotea kwenye list ya karata

hyo gemu hata mi iliniacha mdomo.wazi na bado naitafakari sipati jibu..It's scary..
 
kama utasema karata zote zinapotea inakuja ile moja tu uliyoichagua, na anakwambia kwa mfano. ''ulichagua k ya chupa'' , hapo itabidi tuwavulie kofia kwa salute. lakini kama kwenye list zinakuja nyingi ikiwemo ulochagua hiyo si kitu. just hukuwa makini tu.....
 
Hiyo ni trick ya siku nyingi, kwa wanamazingaombwe (zipo nyingi):ni kweli kama hujagundua hiyo trick utaumiza akili,ni akili ya kawaida ya binadamu kwamba haiwezi kuconcetrate katika vitu viwili kwa wakati mmoja. Lazima ukiambiwa angalia kwa makini karata moja, basi hata hizo nyingine hutahangaika kuziangalia, hivyo hata akizitoa zote pamoja na uliochagua bado hutagundua haraka.ndivo binadamu tulivyo na wanamazingaombwe wengi trick zao zinacheza na akili ya binadamu.
 
Hakuna u freemansn hapo, hiyo ni ishu ya hesabu tu. Game kama hizo zipo nyingi tu. N kaujanja tu ambao unatumika hapo.. Mfano wa game nyingine kama hiyo inaitwa brain scanner, unachagua icon kisha inakuonyesha n icon gani ulioichagua...
 
yaani kweli wajinga ndo waliwao mi nimeliangalia mara mbili tu nimegundua trick aliyotumia anachofanya hapo ni anaondoa karata zote ambazo zilikuwepo mwanzo na kuweka nyingine ila kwa sababu wewe umeconcentrate kwenye karat ayako moja tu huwezi kuligundua hilo.basi ni hivyo tu hata wewe unaweza kulitengeneza just simple as that.
 
Nilitaka nimjibu hivyo hivyo, an old trick!
 
Scientifically hiyo ni illusion. Ni mind yako inakudanganya. Ni kama vile wakati jua ama mwezi unapotokea huonekana kubwa kuliko kawaida. It is the same principle that magicians, mind readers, and illusionists use to trick people lyk you.
 
Back
Top Bottom