Jamali Malinzi, pakuajiri unateua na pakuteua unaajiri

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,338
Habari wakuu?

Tunaomba kumpima huyu Mh. sana, anavyoshangaza katika utendaji wake.

Amekuwa na shutuna mbalimbali tangu aingie TFF, kama za kuhama ofisi, kuua ligi daraja la kwanza, kuajiri watu wanaopaswa kuteuliwa kama wajumbe wa kamati kuu na wenyeviti mbalimbali kwa kupewa masilahi ya kiajira. (watu wakakaa kimya).

Sasa jana ndio kaniacha hoi kabisa, amemteua afisa habari Mr. Baraka Kizunguto kuwa msemaji wa TFF, wakati ni nafasi ya Ajira.

Ni jamalmalinzi anaye ajiri pakuteua, na kuteua pakuajiri.
 
Last edited by a moderator:
Habari wakuu?

Tunaomba kumpima huyu Mh. sana, anavyoshangaza katika utendaji wake.

Amekuwa na shutuna mbalimbali tangu aingie TFF, kama za kuhama ofisi, kuua ligi daraja la kwanza, kuajiri watu wanaopaswa kuteuliwa kama wajumbe wa CC na wenyeviti mbalimbali kwa kupewa masilahi ya kiajira. (watu wakakaa kimya).

Sasa jana ndio kaniacha hoi kabisa, amemteua afisa habari Mr. Baraka Kizunguto kuwa msemaji wa TFF, wakati ni nafasi ya Ajira.

Ni JamaliMalinzi anaye ajiri pakuteua, na kuteua pakuajiri.

Kwanza Anza Tu Kujiuliza Huyo Malinzi Ana Mahaba Na Timu Gani Hapa Bongo Kisha Jiulize Katibu Mkuu Wa TFF Nae Ana Mahaba Na Timu Gani Hapa Bongo Na Baada Ya Hapo Utapata Jibu Na Mwisho Hebu Fuatilia Cv Ya Baraka Kizuguto Halafu Jiulize Ni Mtu Kweli Competent Kwa Nyadhifa Hiyo Kubwa Na Muhimu TFF? Ukishamaliza Kujiuliza Hayo Maswali Yangu Yote UTAPATA MAJIBU Ya Huo UTEUZI Wake. Ninavyojua Msemaji Wa TFF Aliyejadiliwa Na Kutakiwa Kupewa Nyadhifa Hiyo Alikuwa Ni Dada Yangu Mwandishi Wa Habari Za Michezo Mahiri Na Mweledi MWANI NYANGASSA Ila Tatizo Kubwa Ni Bifu Za Kipuuzi Na Chuki kwakuwa Kipindi Cha Nyuma Wakati Huyo Rais Na Katibu Walipokuwa Viongozi Wa Hiyo Klabu Dada Mwani Alikuwa Anawaponda Mno Ktk Articles Zake. Huyo MTELIWA Mpya Hana Rapport Nzuri Na Waandishi Wa Habari Za Michezo Hapa Nchini Tanzania Na Hawezi Kubadilika Kwani Ana " Inborn Arrogance ". Tanzania Kila Sekta Ni Politiki!
 
Nature dictates that! If you were my rival, as your "beloved" sister Mwani was, do you expect me to appoint you in a position of my interest?
 
Anajua watu wa kambi fulani tu ndio maana michezoni siku hizi kumegeuka vitukonsi mpira tena mtamkumbuka tenga na nimeambiwa hataki tena hata akiombwa
 
Mimi nadhani KIZUGUTO ni mtu sahihi pale TFF tatizo mnadhani kitengo cha habari cha TFF kinahitaji mtu mwenye uwezo pekee wa kuandika habari au kuwa mtangazaji mnasahau kuwa TFF ina website na mtu wa habari ukipata ambaye pia ni mtaalamu kwenye tekinohama unakuwa umepiga ndege wawili kwa jiwe moja, huyu Kizuguto kafanya vizuri sana pale Yanga hasa kwenye ishu ya WEBSITE maana website yao ilikuwa updated kuliko website ya Club yoyote Tanzania na ukitaka kuamini hilo ingia website ya Yanga leo update ya mwisho ni siku chache kabra ya kizuguto hajaondoka Yanga huyo aliyeingia sasa hivi (Jerry Muro) kutwa kuongea kwenye press conference website zero, hivyo nadhani TFF wameliona hili ukizingatia na wao Website yao ipo hoi bin taabani lakini ukiacha hilo huyu kizuguto nimekuwa nikimsikiliza amejipambanua kama msemaji anayeongea kwa weledi si kuropoka kama wasemaje wengine.
 
Nakubaliana na wewe,katika karne hii lazima wapatikane watendaji wenye ujuzi na mambo ya ICT,Kiziguto kazi yake imeonekana alivyokuwa Yanga hasa website na mojawapo ya tatizo kubwa la TFF lilikuwa website.Hiyo post hajateuliwa kuna wengi waliomba jamaa akawashinda
 
Website ya Yanga ilikuwa updated fasta Yanga akishinda. Wakifungwa inakakamaa viki nzima
 
Habari wakuu?

Tunaomba kumpima huyu Mh. sana, anavyoshangaza katika utendaji wake.

Amekuwa na shutuna mbalimbali tangu aingie TFF, kama za kuhama ofisi, kuua ligi daraja la kwanza, kuajiri watu wanaopaswa kuteuliwa kama wajumbe wa CC na wenyeviti mbalimbali kwa kupewa masilahi ya kiajira. (watu wakakaa kimya).

Sasa jana ndio kaniacha hoi kabisa, amemteua afisa habari Mr. Baraka Kizunguto kuwa msemaji wa TFF, wakati ni nafasi ya Ajira.

Ni JamaliMalinzi anaye ajiri pakuteua, na kuteua pakuajiri.

frema120 ni lugha tu labda haikukaa sawa,bila shaka jambo liko wazi kuwa members wa sekretariet ya TFF ni employees.
Btw wajumbe wa CC ndio kina nani hao?
 
Last edited by a moderator:
frema120 ni lugha tu labda haikukaa sawa,bila shaka jambo liko wazi kuwa members wa sekretariet ya TFF ni employees.
Btw wajumbe wa CC ndio kina nani hao?
tuambie mchakato wa ajira ya Kizuguto.Tangazo lipi la ajira,interview ipi aliyoshinda "kijana wako"
 
Last edited by a moderator:
frema120 ni lugha tu labda haikukaa sawa,bila shaka jambo liko wazi kuwa members wa sekretariet ya TFF ni employees.
Btw wajumbe wa CC ndio kina nani hao?

Wewe maliza mida wako uondoke unaleta ukanjanja tu kwenye soka la TZ...umeamishia ofisi ppf tower ili uwe unaona mabebezzzz...umetisha prezida
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom