Jamali Malinzi alaani kitendo cha Yanga kuitwa 4G (four G)

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Jamal Malinzi naye kumbe anatambua timu yangu kwa jina lingine inatwa 4G. Iliwahi kupigwa 4 na Azam, Alger's, Simba (5G) n.k
FB_IMG_1492426745025.jpg
 
Yanga na Simba ni machui wa makaratasi timu za kiboya kabisa majina yanapandishwa na hivi viandishi uchwara vya michezo

Utashangaa mwandishi anaripot mechi ya Premier england utazani alikuwa live kumbe copy n pest
 
4G ni speed nzuri sana sijui kwa nn malinzi anachukia. Ni spidi kubwa kwa sasa kwenye mtandao na hivi karibuni inakujq 5G. Kwa hiyo 5G ya simba bado haijafika
 
Naye huyu na yanga yake bwana haiguswi naskia wamewakopesha hela ili wale jamaa waliopotea waje nchini
 
Simba ubingwa kwenye njozi mpaka Manji atoke kuiongoza Yanga
Kwani ubingwa wa Yanga unawasaidia nini zaidi ya kutia aibu taifa!? Mmeshapata nauli kurudi toka Algiers? Wachezaji wasije kuingia kwenye biashara za ajabuajabu
 
Back
Top Bottom