Jamaaan!!!! Heeee!!! Niacheni bana???

inabidi hiyo katuni iwafikie wahusika wa mambo ya elimu
 
Wingi wa magari kwenye foleni = Uchumi umekua kwa kasi.
Wingi wa vyumba vya madarasa bila walimu wakutosha = ????????????????
 
Hahahaha!hiyo speed tunayoshuka nayo!nafikiri mzugu alisikilizia upepo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…