Jamaa yupo kazini

njaa bwana ni noumaaaa. Mpaka tundu la ufunguo na tena ufunguo wenyewe upo kwa ndani basi imetosha
 
My God! Kupitia tundu la ufunguo!Anatafuta picha ya ugoni au? Wajuzi hebu kujeni mnifafanulie.

Sheika hizo camera ni balaa yaani hapo lazima atapata picha mnato kabisa
 
juhudi hizo,sisi wenyewe mbona tunacheza michezo ya ajabu kwenye shughuli zetu bwana!
 
Dawa yao
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1410546686.959651.jpg
    8.6 KB · Views: 255
paparazzi...Hawa ndio walisababisha Princess Diana kufa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…