Kubali kuchafua jina jenga afya.
Nimewahi kula kumbikumbi zamani ila sasa hivi siwezi...acha wafaidi tu.
Naaah...sema nikifikiria yale maziwa maziwa hamu sina. Raha kudaka lakini...haswa wale wamvua.walikudhuru??
Nimewahi kula kumbikumbi zamani ila sasa hivi siwezi...acha wafaidi tu.
yes I am.
Nawatamani sana
nlipowaona wakanikumbusha enzi hizo za maziwa na asali
kitu natural hakina preservatives wala nini.
Wamenitamanisha sana.
Kwetu mwanamke hatakiwi kula kumbikumbi pamoja na watoto wadogo kwa hiyo umechagua njia iliyo sahii
so la kumbikumbi kwa watu wengine huwa tunavimba mwili mzima ukichanganya na senene utanikuta MOI nimelazwa..
endeleeni tu kula chakula cha msimu kama magimbi..
Kwanini Nitty?
nimeipenda hiyo kifupisho,
ati Nitty, nitungie na yangu basi?
mie mpaka leo nikipata nafasi nala, tena wabichi.
Those days bana, unatega kibatari kwa kichuguu by night, ole wako mama ajue? Utamjuza bei ya kerosene by the time...
ila askari wao walikuwa wanauma
kama wembe
dah, nakiona na hicho kichuguu tulichokuwa tunaenda kuwashika.