Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,775
Toto tundu za asubuhi?Ni lazima kunamachumvi yamezidi kiwango cha mboga hapa.
Nyau ww

Hio tabia siku moja ISIYO NA JINA UNAWEZA IJUTIA ABADANIIMwanangu wewe ni mimi kabisa
Hao ni zao la UVCCM vilaza wa Lumumba!SI wanasemaga usalama uwa hawajulikani huyo imekuwaje
Zao la Lumumba UVCCMSI wanasemaga usalama uwa hawajulikani huyo imekuwaje
Kwanini mkuu?Hio tabia siku moja ISIYO NA JINA UNAWEZA IJUTIA ABADANII
Usiwachuuze vijana wakaumizwa.Jana tulikua kwenye foleni Mwenge tupo na wife tumetoka Kinondoni tunaenda nyumbani Goba.
Tumefika pale Mwenge jamaa katoka huko alipo na mbwembwe zake anaona kuna foleni na taa hazijaruhusu kwa sifa kanikwangulia gari yangu.
Nashuka namuuliza kwa ustaarabu jamaa linanitolea kitambulisho cha eti ni usalama akaanza kunikoromea traffic yupo tu anaangalia na akaside upande wa jamaa
Kubabeki nikafungua buti ya gari nikatoa kipande cha nondo nikavunjavunja side mirrors zote pozi likawaishia yeye na traffic wake gari zikaruhusiwa nikasepa zangu.
Hawa watu sio wa kucheka nao hata kidogo kuna siku tena hivyo hivyo daladala kaja kaingia service road nimepaki mbali kabisa kaja kushushia abiria na kagonga gari kwa nyuma namuuliza ananijibu kwa kiburi kuwa nimepaki sehemu sio wakati yeye kashushia sehemu siyo akaondoka, sikuongea nikakodi boda hapo hapo nikaifata daladala kwa nyuma nikaipiga mawe na kuvunja kioo cha nyuma afu tukatokomea zetu gizani.
Nimefurahishwa na unavyo-revenge.Jana tulikua kwenye foleni Mwenge tupo na wife tumetoka Kinondoni tunaenda nyumbani Goba.
Tumefika pale Mwenge jamaa katoka huko alipo na mbwembwe zake anaona kuna foleni na taa hazijaruhusu kwa sifa kanikwangulia gari yangu.
Nashuka namuuliza kwa ustaarabu jamaa linanitolea kitambulisho cha eti ni usalama akaanza kunikoromea traffic yupo tu anaangalia na akaside upande wa jamaa
Kubabeki nikafungua buti ya gari nikatoa kipande cha nondo nikavunjavunja side mirrors zote pozi likawaishia yeye na traffic wake gari zikaruhusiwa nikasepa zangu.
Hawa watu sio wa kucheka nao hata kidogo kuna siku tena hivyo hivyo daladala kaja kaingia service road nimepaki mbali kabisa kaja kushushia abiria na kagonga gari kwa nyuma namuuliza ananijibu kwa kiburi kuwa nimepaki sehemu sio wakati yeye kashushia sehemu siyo akaondoka, sikuongea nikakodi boda hapo hapo nikaifata daladala kwa nyuma nikaipiga mawe na kuvunja kioo cha nyuma afu tukatokomea zetu gizani.
Shikilia adabu yako matracco wewe.Toto tundu za asubuhi?
Nyau ww