Jamaa siku zote yuko Makini

Jamaa siku zote yuko Makini

Greatest Of All Time

Platinum Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
26,550
Reaction score
62,021
Jamaa yupo siriaz na anajua anachofanya. Daima kwenye mkusanyiko ya watu wengi yeye huvaa miwani meusi.
Amenikumbusha kuna kitabu kinaitwa Kipofu mwenye miwani meusi.
IMG_20170703_214741_237.jpg
 
huyo mwingine mwenye sara za jeshi kama za zanzibar ni nani? jeshi letu linavaa sare za aina hiyo siku hizi?
 
huyo mwingine mwenye sara za jeshi kama za zanzibar ni nani? jeshi letu linavaa sare za aina hiyo siku hizi?
Hiyo sio sare ya jeshi lolote Zanzibar wala bara.ni sare ya watu wa usalama tz.
 
Hapo hamna kitu zoom vizuri utaona aina ya miwani ya kkoo, mbwembwe nyingi wakijambishwa utaona wanavyokimbia
 
pia inahitaji mtu anayejiamini kama Mr. president namkubali sana Magu
 
Nadhani wamehisi Sizonje hayuko salama mbona wamewaongeza hao Jamaa wenye gwanda Maalumu siku nyingi sana sijawaona kumbe wapo
 
Mbona yule body guard wake wa upande wa kulia ananenepa ivyooo? Ikulu kutakuwa na mlo mzuri aseee.


Bora hivyo alivyo maana ingekuwa enzi za Kikwete huyo bodyguard hata kutembea asingeweza kwa sababu pale Ikulu kulikuwa na wapishi zaidi ya 60 toka Msoga kunenepesha watu tu.
 
Back
Top Bottom