B BEHOLD JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 5,130 Reaction score 10,839 Mar 6, 2018 #1 Au hana plan B
G ghona18 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 572 Reaction score 331 Mar 6, 2018 #2 Nikama tunamuonea bure maana wale jamaa wanajua ata tungetengeneza combine ya tanzania nzima sidhani kama tungeweza kuwafunga kirahisi
Nikama tunamuonea bure maana wale jamaa wanajua ata tungetengeneza combine ya tanzania nzima sidhani kama tungeweza kuwafunga kirahisi
jacquelyne Member Joined Aug 29, 2017 Posts 73 Reaction score 55 Mar 6, 2018 #3 Wachezaji wengi wa Yanga hawajitumi.Wangekuwa na moyo wa kazi kama Kessy Yondani Tshishimbi na Ajib mambo yangekuwa mambo
Wachezaji wengi wa Yanga hawajitumi.Wangekuwa na moyo wa kazi kama Kessy Yondani Tshishimbi na Ajib mambo yangekuwa mambo