Jamaa natafuta mganga anayepiga ramli

Jamaa natafuta mganga anayepiga ramli

Hassanigenge

New Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Nimeibiwa laptop na simu ya iPhone natafta mganga anayepiga ramli niweze kuzipata ..tafadhali!
 
Mpiga ramli hawezi kuvirudisha bali atakwambia vilipo. Mm PM mshana jr au MziziMkavu hao watavirudisha. Achana na mpiga ramli au msoma Albadili. Hao hawavirudishi
 
Nenda Mkuranga kwa Dr. Manyaunyau atarudisha kama alivyorudisha yule jamaa aliyekufa.
 
Back
Top Bottom