jamaa na paka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamaa na paka

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Judi wa Kishua, Sep 26, 2012.

 1. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  [h=5]Jamaa mmoja alikua akiishi na mkewe, lakini mkewe alikua nafuga paka na yeye jamaa alikua hampendi kweli yule paka. siku mojaakaamua aende akamtupe mbali.

  Akamchukua na kuendesha gari kama mtaa wa saba 7 mbele, akamuacha paka apo akaanza kurudi home, alipokua anakaribia kwake akamuona paka naye anaingia ndani.. akashangaa kweli..akauchuna.

  siku iliyofuata akamchukua paka na kumpeleka mbali zaidi kama mtaa wa 18 kutoka nyumani kwake.. akumtupia apo ye akaanza kurudi nyumbani, alipokaribia nyumbani kwake akamuona tena paka naye amerudi anaingina ndani.... akapandwa na hasira...

  kesho yake akaamka na kumchukua paka akaenda mbali zaidi akakata kushoto akakata kulia akanyoosha tena kushoto kulia akazunguka saaaana.. kisha akamtupa paka...... akaanza safari ya kurudi home...

  baada ya muda akapiga simu kwa mkewe nyumbani

  Jamaa: mke wangu vipi.... huyo paka yupo apo??

  Mke: ndio mume wangu yupo katulia tu, vipi imekuaje??

  Jamaa: hebu mpe simu anielekeze njia ya kurudi nyumbani...... maana mi nimepotea.


  [/h]
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,269
  Likes Received: 19,408
  Trophy Points: 280
  hahahaa
   
 3. p

  pilau JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Paka mtu!!!!!!!!!!
   
 4. 123yrz

  123yrz Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah! Uyo paka nowma
   
 5. N

  Nani Mimi Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du kweli hasira hasara
   
 6. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Uyo nyau ni next level aisee....!
   
 7. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kumbe ndo maana ma-wizard wanamtumia!
   
 8. K

  Kihondaich Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kwa kwa kwa hiii ni nyeusi.
   
 9. data

  data JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,733
  Likes Received: 6,507
  Trophy Points: 280
  dah...
   
 10. d

  dmatemu JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 587
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Hahahaaa
   
 11. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  dah...nimecheka sana, nimekugongea li-like la nguvu mkuuu...kip iti apu
   
 12. molely molly

  molely molly JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 317
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah thats great!
   
 13. N

  NG'ONG'ONHWI Member

  #13
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mmmh huyo ni paka au nyau??!!!
   
 14. C

  Chassarsenal Member

  #14
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mchawi m2 paka ana2mwa.
   
Loading...