jamaa mmoja alienda kwa
kinyoz akamulza knyoz vp
utatumia mda gani
kunyoa,kinyoz akaangalia
folen akasema md wa saa
3,jamaa akaondoka,kesho
yake akarud tena,akamwulza
tena knyoz akaangalia folen
akasema mda wa sa 2,jamaa
akaondoka tena,kesho yake
akarud tena swal lilelile.kinyoz
akamwambia mda wa sa 3,
jamaa alivyoondoka, knyoz
akamwambia rafk yake,hebu
mfatilie huyo jamaa mana kla
sku ananiulza ntatumia mda
gan knyoa wateja halaf
anaondoka.baada ya mda
mfup rafk yake akarudi huku
anacheka'tehe! tehe! tehe!
Halaf akamwambia "huwa
anaenda kwa mkeo"
kinyoz akamulza knyoz vp
utatumia mda gani
kunyoa,kinyoz akaangalia
folen akasema md wa saa
3,jamaa akaondoka,kesho
yake akarud tena,akamwulza
tena knyoz akaangalia folen
akasema mda wa sa 2,jamaa
akaondoka tena,kesho yake
akarud tena swal lilelile.kinyoz
akamwambia mda wa sa 3,
jamaa alivyoondoka, knyoz
akamwambia rafk yake,hebu
mfatilie huyo jamaa mana kla
sku ananiulza ntatumia mda
gan knyoa wateja halaf
anaondoka.baada ya mda
mfup rafk yake akarudi huku
anacheka'tehe! tehe! tehe!
Halaf akamwambia "huwa
anaenda kwa mkeo"