Jamaa na house girl.

manuu

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
4,064
10,723
Kuna jamaa angu leo kanistajabisha sana,Ana dada wa kazi nyumbani kwake sasa anasema huyo dada wa kazi baada ya kukaa nae kama mwaka 1 sasa amependeza sana yaani kutanuka kila idara ya mwili wake.Ktendo ambacho kimemfanya jamaa kuanza kumtamani huyo dada wa kazi ila jinsi ya kuanza kumweleza chochote ndo inakua ngumu sababu jamaa ana wife sasa anahofu vip wife akijua si itakuwa so.
Kitu alichoanzisha ni kila baada ya chakula cha usiku wife wake akienda lala yye anajifanya yupo busy sitting na laptop yake kumbe anamsubiri yule house girl aingie bafuni kouga jamaa anaenda pale kwenye mlango wa bafu sehemu ya kutasa anasema kuna kiuwazi kidogo kinachomwezesha kumwona yule bint akioga kila mahali sababu anasema kila baada ya chakula cha jioni lazima huyo binti aende kuoga kila siku.
Sa jamaa anasema ameshakuwa addicted na chabo ya housegirl na anasema anahisi kumwambia kitu ila anaogopa.
Nilijiuliza sana hivi wanaume tuna shida gani sababu jamaa ana wife mzuri sana na msomi mwenye kazi nzuri.
Na jamaa ni msomi na anakazi safi sana .......sasa nikijaribu kutafakari kwa nini anfanya kweli jibu sina.
 
We umejuaje hayo yote ? Itakuwa ni wewe minyewe ndo mzee wa chabo . Tafakari , chukua hatua.
 
ah ndio tulivyo...anataka kuonja utamu mwengine. unaweza kuta kavutiwa na **** au mtindi basi mpaka aune inakuwaje wakati unamlala...hahaa. mie demu anaweza asiwe mkali kivile laki wakati wa mchezo ile kumuona ana react vipi raha ikinoga naweza jikuta namtaka...so there is aumthing ata kuona hapo hahahaha
 
is anything in skirt worth banging? come on dudes, this is stooping too low
 
Yaani sijui mna mapepo au? Mimi naona ni weakness at it's peak! Why defenseless person? Mitaani kuna wadada wazuri wengi tu, mbona anashindwa kuwafuata kama kweli ni kidume cha mbegu.

Poor Mke wake, na wanawake wote kwa ujumla, with husbands like this naamini mdildo yanaworth more kuliko vichomi Kama huyu!
 
We umejuaje hayo yote ? Itakuwa ni wewe minyewe ndo mzee wa chabo . Tafakari , chukua hatua.
Nitake radhi.........Hiyo story jamaa amenipa tukiwa kwenye mambo ya 1.....2....
 
We umejuaje hayo yote ? Itakuwa ni wewe minyewe ndo mzee wa chabo . Tafakari , chukua hatua.
Yaani hata mimi nilihisi hivo. Nani anaweza kukupa hizo details???
Kama vipi mwambie amshukuru huyo HG kwa kazi amefanya hadi sasa, amfute kazi na atafute mngine.
 
Kuna jamaa angu leo kanistajabisha sana,Ana dada wa kazi nyumbani kwake sasa anasema huyo dada wa kazi baada ya kukaa nae kama mwaka 1 sasa amependeza sana yaani kutanuka kila idara ya mwili wake.Ktendo ambacho kimemfanya jamaa kuanza kumtamani huyo dada wa kazi ila jinsi ya kuanza kumweleza chochote ndo inakua ngumu sababu jamaa ana wife sasa anahofu vip wife akijua si itakuwa so.
Kitu alichoanzisha ni kila baada ya chakula cha usiku wife wake akienda lala yye anajifanya yupo busy sitting na laptop yake kumbe anamsubiri yule house girl aingie bafuni kouga jamaa anaenda pale kwenye mlango wa bafu sehemu ya kutasa anasema kuna kiuwazi kidogo kinachomwezesha kumwona yule bint akioga kila mahali sababu anasema kila baada ya chakula cha jioni lazima huyo binti aende kuoga kila siku.
Sa jamaa anasema ameshakuwa addicted na chabo ya housegirl na anasema anahisi kumwambia kitu ila anaogopa.
Nilijiuliza sana hivi wanaume tuna shida gani sababu jamaa ana wife mzuri sana na msomi mwenye kazi nzuri.
Na jamaa ni msomi na anakazi safi sana .......sasa nikijaribu kutafakari kwa nini anfanya kweli jibu sina. Kwami kua msomi ndio kunakufanya uwe mstarabu? Huyo jamaa yako hajiheshimu yeye wala hamueshimu mkewe, ivi mkewe kapungua nn mpaka atafute Msichana wa kazi? Tena usione anamchungulia mfanyakazi tu hata mpenzi wako Akimuona atamchungulia,Hana muamana Kama paka Huyo....
 
Kuna haja ya kuoga na nguo sehemu yenye watu kama hiyo.

Mwambie huyo rafiki yake aendelee mpaka siku atakayotobolewa jicho ndio atakomaa akili.
 
Ila wanaume kwa hapa tutakuwa tumezini yan ni km akili zinahamaga kabisa na tunakosa hata kutafakari risk itakuwaje.
 
ah ndio tulivyo...anataka kuonja utamu mwengine. unaweza kuta kavutiwa na **** au mtindi basi mpaka aune inakuwaje wakati unamlala...hahaa. mie demu anaweza asiwe mkali kivile laki wakati wa mchezo ile kumuona ana react vipi raha ikinoga naweza jikuta namtaka...so there is aumthing ata kuona hapo hahahaha
Ila kwa house girl wako huoni ni hatari sana kama wife akijisikia kwenda msalani akamkuta jamaa yupo busy kwenye kitasa cha mlango eti anakula chabo house girl wake itakuwaje?
I Cant imaging wat will follow next.
 
Hawa mahousegirl wetu nao wakipata sehemu yenye mlo, wananawiri kumpita mwenye mji!
 
with husbands like this naamini mdildo yanaworth more kuliko vichomi Kama huyu!

eti? kumbe ni alternative poa eeh? unapata the right size, muda unaotaka, doesn't hurt one's feelings and can never cheat on you...
 
kwenye mapenzi hakuna kazi nzuri wala elimu bora! ila anayotaka huyo jamaa kwa housegirl sio mapenzi ni tamaa zake tu za mwili! amuombe mungu amsadie,ila zuri zaidi amwambie mkewe ili ajue amzibiti vizuri!
 
Fikiria kama naye mke wake angefanya hivyo kwa Shamba boy, nadhani imefikia wakati kuzitawala hizi tamaa na kuachana na uchambuzi na ulinganishi unaotupelekea kutamani, ni ngumu lakini ukishaamua kuona mke wako ni zaidi ya wote utakaowaona, na ukaishi hivyo hakika utafaidi maisha, tatizo tunatamani mno alafu ukiangalia tunachotamani ni maumbile yanayoonekana wakati pengine hakuna jipya sana katika uhalisia wa kitu!
 
Amwambie mkewe amfukuze huyo house girl na atafute mwingine kabla mambo hayajabadilika.
 
...HAHAHA, kaugonjwa ka akili! hakana tiba haka ila kufumaniwa tu!
 
Back
Top Bottom