Jamaa na house girl.

eti? kumbe ni alternative poa eeh? unapata the right size, muda unaotaka, doesn't hurt one's feelings and can never cheat on you...

Yaani ukifikiria sana inakatisha tamaa! Hivi hawatengenezi yenye body ambayo unaweza na kulihug na kulikiss. LOL
 
Nionyeshe rafiki yako, nikutajie tabia zako,
so kama rafiki yako yuko hivyo basi ndio zenu we na mwenzio,
na huenda ni wewe mkuu,
 
Nionyeshe rafiki yako, nikutajie tabia zako,
so kama rafiki yako yuko hivyo basi ndio zenu we na mwenzio,
na huenda ni wewe mkuu,
Misemo mingi imepitwa na wakati rafki angu.
 
ndo maana wanaume tunaitwa majasili sana,mwanamke unaweza kumchungulia mtu namna hiyo bila kumwogopa mmeo.? Ha ha ha.
 
kwanini lkn, kumtamani hg ni sawa na kumtamani mtoto wako mwenyewe, Mkeo hakutoshelezi, mijitu mingine bw, kazi kulamba hapa mara pale eeeeeeeeeeeee mnakera
 
just imagine akifumwa na mkewetakuwaje??yani baba zima unamchungulia hg akioga??me sijui wanaume mmeumbwaj jamani,mkeo yupo chumbani lkn bado tu unataka uharibu maisha ya mtt wa watu??
 
Kuna haja ya kuoga na nguo sehemu yenye watu kama hiyo.

Mwambie huyo rafiki yake aendelee mpaka siku atakayotobolewa jicho ndio atakomaa akili.

Dearest, we oga tu kwa raha zako, hakikisha tu umefunga bafu,asije kuvamia tu au kuingia na mlango kabisa.....lol

Wanaume na house girls...hii tabia inaota mizizi kila kukicha kwa visingizio kede kede!
 
bora amtafutie chumba kwingine na amzuge anamtafutia kazi kwa rafiki yke kwa sababu mkewe anataka kumleta mdogo wake kufanya kazi hapo, akifika hapo atangaze nia
 
Back
Top Bottom